Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,258
- 20,709
Nilimfahamu mwaka 2000,wakati huo wote tulikua waajiriwa wa kampuni moja ya kusafirisha mafuta,kwa sasa ni mfanyabiashara binafsi na ni rafiki yangu,aliniambia tatizo lake kama ifuatavyo;ana mchumba ambae wanapendana sana na wapo kwenye uchumba kwa miezi 8!Mchumba wake ni mtu wa msimamo na anajiamini na anamaanisha anachosema,hawajashiriki tendo la ndoa coz mchumba amesema mpaka watakapofunga harusi!Rose ana miaka 28 na mchumba wake ana miaka 35,tatizo linalomsumbua Rose ni kuwa katika mahusiano yake ya nyuma alikua anafanya mapenzi kinyume na maumbile mpaka amekua "addicted"!Kwa muda wa miezi yote 8 ya uchumba amekua akiwanunua vijana ili wampatie huduma hiyo!Kitendo hicho kinamuumiza sana kwani hapendi kumsaliti mchumba wake kwani mchumba wake amekua akionesha dalili zote za uaminifu!Mahari ameshatoa,vikao vya harusi vinaendelea na pia nyumba yao wanayojenga pamoja iko kwenye lenta!Tatizo lingine kubwa ni mchumba wake amekua akisema namna anavyochukia tabia ya watu wanaojamiiana kinyume na maumbile na hawapendi sana watu hao bila kujali jinsia zao!Rose hana raha,amechanganyikiwa,anampenda mchumba but kuacha tabia hiyo ameshindwa,kumwambia ukweli anaogopa kuachwa!Tafadhali msaidie mawazo!