Tafadhali Rose anahitaji mawazo yako!!..

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,708
Nilimfahamu mwaka 2000,wakati huo wote tulikua waajiriwa wa kampuni moja ya kusafirisha mafuta,kwa sasa ni mfanyabiashara binafsi na ni rafiki yangu,aliniambia tatizo lake kama ifuatavyo;ana mchumba ambae wanapendana sana na wapo kwenye uchumba kwa miezi 8!Mchumba wake ni mtu wa msimamo na anajiamini na anamaanisha anachosema,hawajashiriki tendo la ndoa coz mchumba amesema mpaka watakapofunga harusi!Rose ana miaka 28 na mchumba wake ana miaka 35,tatizo linalomsumbua Rose ni kuwa katika mahusiano yake ya nyuma alikua anafanya mapenzi kinyume na maumbile mpaka amekua "addicted"!Kwa muda wa miezi yote 8 ya uchumba amekua akiwanunua vijana ili wampatie huduma hiyo!Kitendo hicho kinamuumiza sana kwani hapendi kumsaliti mchumba wake kwani mchumba wake amekua akionesha dalili zote za uaminifu!Mahari ameshatoa,vikao vya harusi vinaendelea na pia nyumba yao wanayojenga pamoja iko kwenye lenta!Tatizo lingine kubwa ni mchumba wake amekua akisema namna anavyochukia tabia ya watu wanaojamiiana kinyume na maumbile na hawapendi sana watu hao bila kujali jinsia zao!Rose hana raha,amechanganyikiwa,anampenda mchumba but kuacha tabia hiyo ameshindwa,kumwambia ukweli anaogopa kuachwa!Tafadhali msaidie mawazo!

mkuu unajua hapa ni mahali pa heshima sana,usifikiri kwa sababu hujulikani unaleta kila upuuzi hapa,jaribu kufikiria kabda hujainamisha kichwa chako kutuma post hapa,sio fresh na sijapenda hii

Mheshimiwa,Sijakuelewa unaposema sijulikani unamaanisha wewe hunijui ama vipi?Na ni kipi hujapenda hapo?

Kwa nini anashindwa kuacha tabia hiyo chafuuu. Kaa nae na umshauri kuacha tabia hiyo, hawezi kushindwa kuacha kama ana nia ya kufanya hivyo, kitendo cha kuendelea na tabia hiyo chafu kitamletea madhara makubwa hapo mbeleni yeye mwenyewe na atajutia.
1. Mungu hapendi tabia hiyo chafuuuuu kila dini wanakataza kufanya mchezo huo.
2.Mchumba wake akijua kuwa ana tabia hiyo chafu hatojali anampenda vipi?? atakua tayari kumwacha na hatojali wanamaendeleo kiasi gani na mipango gani.
2. Ni hatari sana kwa afya yake kwani kitakachotokea huko mbeleni anajua...........!
Nina imani kama anampenda kweli mchumba wake na hayuko tayari kumpoteza ataacha tabia hiyo, Kwani anategemewa kuwa mama wa familia bora na mwenye maadili mema, yeye ndiye atakayekuwa mlezi mkuu wa familia yake.

nakushauri kwa sababu mimi ni mtu mzima,jaribu kufikiri kabla ya kutenda,usilete post za ajabu hapa,unaonekana kama unadharau jukwaa letu,kama huna mambo ya msingi bora kukaa kimya na kusoma mawazo ya wenzio na kujifunza,acha utani wa kijinga kijana

kama mchumba amesha sema hapendi hilo..
kwanini huyo Rose asimwambie tu ukweli sasa?
kuliko asubiri mpaka aolewe..

Ushauri wangu bora afunguke sasa kuliko baadaye..
umesema anawalipa watu wamfanyie hilo sababu kazoea..
Ndoa haita mzuia asiendelee kutiwa nyuma .. Bora awe mkweli kwake
na kwa mume mtarajiwa..

It's funny that u didn't answer any of my question!Unaendelea kumwaga lawama!Jibu maswali niliokuuliza "Mzee"

Kwa nini anashindwa kuacha tabia hiyo chafuuu. Kaa nae na umshauri kuacha tabia hiyo, hawezi kushindwa kuacha kama ana nia ya kufanya hivyo, kitendo cha kuendelea na tabia hiyo chafu kitamletea madhara makubwa hapo mbeleni yeye mwenyewe na atajutia.

1. Mungu hapendi tabia hiyo chafuuuuu kila dini wanakataza kufanya mchezo huo.

2.Mchumba wake akijua kuwa ana tabia hiyo chafu hatojali anampenda vipi?? atakua tayari kumwacha na hatojali wanamaendeleo kiasi gani na mipango gani.

2. Ni hatari sana kwa afya yake kwani kitakachotokea huko mbeleni anajua...........!

Nina imani kama anampenda kweli mchumba wake na hayuko tayari kumpoteza ataacha tabia hiyo, Kwani anategemewa kuwa mama wa familia bora na mwenye maadili mema, yeye ndiye atakayekuwa mlezi mkuu wa familia yake.

Nimependa sana mwawazo yako!Thanx!

Before anything... jamani huyo kaka kulala tu na Rose (take note ana 35yrs) kaona asubiri ndoa.... sembuse maneno ya Back door!!! Eiyer my brother kama kweli huyo Rose ni wa karibu yako kweli amuonee huruma kaka wa watu na aachie ngazi... kweli it is not fair....

Yaaaani kweli inasikitisha saaana.... mtu ufanye hayo mambo na una confidence ya ku confess uko addicted?? Dah!

Yes!She is my friend!Lakini unavyodai aachie ngazi is not that simple,bora ingekua walipokua na wiki na hakukua na kitu chochote kilicho take place!Fikiria ndoa ni few days ahead!

kama mchumba amesha sema hapendi hilo..

kwanini huyo Rose asimwambie tu ukweli sasa?

kuliko asubiri mpaka aolewe..

Ushauri wangu bora afunguke sasa kuliko baadaye..

umesema anawalipa watu wamfanyie hilo sababu kazoea..

Ndoa haita mzuia asiendelee kutiwa nyuma .. Bora awe mkweli kwake

na kwa mume mtarajiwa..

Duh!Punguza ukali wa maneno AD!!Watoto wapo macho!

Rose anatakiwa kupambana ili kuacha hii tabia kabla hajaingia kwenye ndoa,tena alitakiwa awe ameshaacha siku nyingi kabla hata vikao havijaanza.
Simshauri aingie kwenye ndoa na tabia hii.
The guy is innocent na hastahili kufanyiwa hivi.

Yes!She is my friend!Lakini unavyodai aachie ngazi is not that simple,bora ingekua walipokua na wiki na hakukua na kitu chochote kilicho take place!Fikiria ndoa ni few days ahead!

Eiyer... yeye alifanya iwe complicated toka mwanzo... mtu ambae unatumia mlango wa upenuni kuingia ni lazima umpate wa upenuni... Hio ni selfishness ya yeye Rose kutotaka kutambua hilo toka mwanzo.... Yaaani Eiyer huyo mwanaume mlango wa mbele tu haweza thubutu bila kukaribishwa na kutoa taarifa.... sembuse umwambie kua zungukuka upenuni?? Alafu wee ni mkaka - I believe you understand better kuliko hata mimi....

Yaani hapa hata sijui nisemeje.....

Kifupi afunguke tu amwambie mwenziye hali halisi ili ajue kusuka au kunyoa, option ya pili, awe tayari kuacha...otherwise italeta matatizo tu

mwambie rose amkabithi Bwana Yesu maisha na Tamaa za mwili zitakoma.Unajua kuna mapepo huwa yanasimamia hayo mambo ndio maana wakati mwingine kuchomoka na nguvu zako binafsi inakuwa ngumu.

Eiyer... yeye alifanya iwe complicated toka mwanzo... mtu ambae unatumia mlango wa upenuni kuingia ni lazima umpate wa upenuni... Hio ni selfishness ya yeye Rose kutotaka kutambua hilo toka mwanzo.... Yaaani Eiyer huyo mwanaume mlango wa mbele tu haweza thubutu bila kukaribishwa na kutoa taarifa.... sembuse umwambie kua zungukuka upenuni?? Alafu wee ni mkaka - I believe you understand better kuliko hata mimi....

Duh!Hii kweli kazi,ni kweli kuna ugumu lakini nafikiri huyo shemeji yangu mtarajiwa kama atakuwa na ufahamu wa kutosha akielezwa ataelewa na watajadiliana namna ya kulitatua hilo tatizo kisha wakamove on!Huwezi kumwacha umpendae kisa ana tatizo linalotatulika haijalishi ni la namna gani!Sishauri aachie ngazi bali amwambie!Lakini awe tayari na matokeo yoyote!

mwambie rose amkabithi Bwana Yesu maisha na Tamaa za mwili zitakoma.Unajua kuna mapepo huwa yanasimamia hayo mambo ndio maana wakati mwingine kuchomoka na nguvu zako binafsi inakuwa ngumu.

Haya mapepo tena yamekaa pabaya sana...yamechagua exit door tu.

mwambie rose amkabithi Bwana Yesu maisha na Tamaa za mwili zitakoma.Unajua kuna mapepo huwa yanasimamia hayo mambo ndio maana wakati mwingine kuchomoka na nguvu zako binafsi inakuwa ngumu.

Hili nalo ni wazo nitalifikisha!Thanx much!

Similar Discussions

Back
Top Bottom