Tafadhali nisaidieni! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafadhali nisaidieni!

Discussion in 'Entertainment' started by mtweve, Apr 12, 2010.

 1. mtweve

  mtweve Member

  #1
  Apr 12, 2010
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Awali ya yote niwashukuru sana walioamua kuanzusha chommbo kama hiki! mimi ni mwanafunzi wa mwaka pili UDSM.Ndoto zangu siku zotte za maisha yangu ni kuwa mwigzaji au mtangaji wa redio au TV.

  Kutokana na sababu mbalimbali peke yangu imekuwa ngumukutimiza ndoto zangu OMBI naomba sasa kama kuna yeyote kwa namna moja au nyingine anaweza kunisaidia mfano kuniunganisha na waigizaji au kituo redio nitafurahi sana.

  Namba zangu 0714731006 na 0753380229 au mtwevebs@yahoo.com
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Utangazaji nadhani itakuwa nzuri zaidi kama utapata mafunzo kabla ya kujikita ndani
   
 3. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #3
  Apr 12, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mtwevu maliza kwanza chuo then ndio ukasomee maswala ya utangazaji ukiwa na cheti chako utapata kazi tu bila shaka, kuliko njia hii ambayo unataka kuitumia hivi sasa ambayo ni ngumu sana kwako wewe kufanikiwa.
   
 4. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  kwa vile bado huko chuo na unaonesha nia.mie ningekushauri wakati huu ambao unaendelea na masomo jaribu kupeleka maombi yako kwenye vituo vyote kwamba unataka kwenda kufanya training for free kutokana na mahitaji yako ya masomo unayojifunza.


  na swala la kuigiza ndio rahisi zaidi peleka maombi ya kujitolea kuigiza kwa bure.watakusaidia wewe kupata experience na wao watakua wamekutumia kwa bure.

  baadae ukimaliza masomo utakuwa tayari ushajifunza mengi na hapo utakuwa tayari sasa kuanza ajira rasmi.nakutakia kila kheri.
   
 5. mtweve

  mtweve Member

  #5
  Apr 22, 2010
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Asate sana kwa ushauri wenu,ombi kama unajua sehemu hasa nigeomba nielikezwe si unajua mjini hapa
   
Loading...