Tafadhali nisaidieni hesabu hii

Mchana

Senior Member
Sep 27, 2007
183
16
Wageni watatu walikwenda kupanga chumba kwenye hoteli kilichokuwa kikipangishwa kwa Tshs 30,000. Kila mmoja alichanga shs 10,000 na kumkabidhi mhudumu. Bosi w ile hoteli alipoletewa zile pesa alimweleza mhudumu kuwa chumba kile bei yake ilikuwa ni Tshs 25,000 na sio 30,000, hivyo akamwamuru yule mhudumu awarudishie wale wageni watatu shs 5,000. Yule mhudumu alirudi na kuwakabidhi kila mmoja sh 1,000 kwani hakuwa na chenji kamili ( hivyo jumla Tshs 3,000) kisha yeye akabakiwa na shs 2,000. Hivyo ukiangalia ndio kusema kila mgeni alikuwa amechangia sh 9,000 kwenye kile chumba, hivyo jumla ni Tshs 27,000. na mhudumu alikuwa amebakiwa na shs 2,000, hivyo jumla tshs 29,000. Je shs 1,000 ilipotelea wapi?
 
Ukisimama upande wa wageni hesabu haikamiliki, Lakini ukisimama sehemu ya mhudumu hesabu inakamilika.

It is brain teasing
 
Jibu lako ni ............?

1. Iko kwa mwenye Hoteli
2. Kwa mhudumu
3. Wageni?

.
 
Wageni watatu walikwenda kupanga chumba kwenye hoteli kilichokuwa kikipangishwa kwa Tshs 30,000. Kila mmoja alichanga shs 10,000 na kumkabidhi mhudumu. Bosi w ile hoteli alipoletewa zile pesa alimweleza mhudumu kuwa chumba kile bei yake ilikuwa ni Tshs 25,000 na sio 30,000, hivyo akamwamuru yule mhudumu awarudishie wale wageni watatu shs 5,000. Yule mhudumu alirudi na kuwakabidhi kila mmoja sh 1,000 kwani hakuwa na chenji kamili ( hivyo jumla Tshs 3,000) kisha yeye akabakiwa na shs 2,000. Hivyo ukiangalia ndio kusema kila mgeni alikuwa amechangia sh 9,000 kwenye kile chumba, hivyo jumla ni Tshs 27,000. na mhudumu alikuwa amebakiwa na shs 2,000, hivyo jumla tshs 29,000. Je shs 1,000 ilipotelea wapi?

Dah mdogo wangu alishanipa kitu kama hiki nikachemka......

najaribu ila sisimani upande wowote

Sh. 1000 alibaki nayo Bosi.

Nimepata?
 
Aaaaah nimekumbuka.

Bosi Sh. 25000 alizopokea
Mhudumu Sh. 2000 alibaki nazo baada ya kuwarudishia bukubuku
Mageni Sh. 3000 buukbuku walizorudishiwa
Jumla Sh. 30000 Jumla ya ela waliyotoa mwanzo
 
Wageni watatu walikwenda kupanga chumba kwenye hoteli kilichokuwa kikipangishwa kwa Tshs 30,000. Kila mmoja alichanga shs 10,000 na kumkabidhi mhudumu. Bosi w ile hoteli alipoletewa zile pesa alimweleza mhudumu kuwa chumba kile bei yake ilikuwa ni Tshs 25,000 na sio 30,000, hivyo akamwamuru yule mhudumu awarudishie wale wageni watatu shs 5,000. Yule mhudumu alirudi na kuwakabidhi kila mmoja sh 1,000 kwani hakuwa na chenji kamili ( hivyo jumla Tshs 3,000) kisha yeye akabakiwa na shs 2,000. Hivyo ukiangalia ndio kusema kila mgeni alikuwa amechangia sh 9,000 kwenye kile chumba, hivyo jumla ni Tshs 27,000. na mhudumu alikuwa amebakiwa na shs 2,000, hivyo jumla tshs 29,000. Je shs 1,000 ilipotelea wapi?

Aaaaah nimekumbuka.

Bosi Sh. 25000 alizopokea
Mhudumu Sh. 2000 alibaki nazo baada ya kuwarudishia bukubuku
Mageni Sh. 3000 buukbuku walizorudishiwa
Jumla Sh. 30000 Jumla ya ela waliyotoa mwanzo

Shukuru,
tizama tena mchana alivyouliza.

.
 
Kama kuna Zawadi ok.

Lakini shukuru yuko ok kabisa.

Kwa sababu hapa inatafutwa pesa na sio namba though its in terms of numbers. May be it needs some algebraic expression SHukuru so that iwe recognised value of X, Y And Z.
 
Da nakumbuka maswali kama haya form 1. Simontinias ikweshen nini hii???
Kumbuka kuna na tipu hapo.
 
Hakuna Pesa iliyoptea, Jamaa (Wageni) walitoa shilingi 30,000/:, Wakarudishiwa buku 3,000/: na buku 2000/: mhudumu kachikchia (Katia ndani) a.k.a KAFISIDI .Jumla ni shilingi 30,000/:
 
Wageni wamelipa 27000 ambayo 25000 ameshukua bosi na 2000 amechukua mhudumu. Na wao wamerudishiwa elfu tatu. sasa hiyo 2000 si tayari ipo kwenye hiyo 27000 mbona tena unaijumlisha. ulitakiwa ufanya 27000 +3000=30000. Hakuna hela yoyote iliyopotea.

Are you recruiting spies? It is very interesting. Swali lako linapima mtu uwezo wa kulink vitu logically
 
Wageni watatu walikwenda kupanga chumba kwenye hoteli kilichokuwa kikipangishwa kwa Tshs 30,000. Kila mmoja alichanga shs 10,000 na kumkabidhi mhudumu. Bosi w ile hoteli alipoletewa zile pesa alimweleza mhudumu kuwa chumba kile bei yake ilikuwa ni Tshs 25,000 na sio 30,000, hivyo akamwamuru yule mhudumu awarudishie wale wageni watatu shs 5,000. Yule mhudumu alirudi na kuwakabidhi kila mmoja sh 1,000 kwani hakuwa na chenji kamili ( hivyo jumla Tshs 3,000) kisha yeye akabakiwa na shs 2,000. Hivyo ukiangalia ndio kusema kila mgeni alikuwa amechangia sh 9,000 kwenye kile chumba, hivyo jumla ni Tshs 27,000. na mhudumu alikuwa amebakiwa na shs 2,000, hivyo jumla tshs 29,000. Je shs 1,000 ilipotelea wapi?

9000x3= 27000/=
1000x3= 3000/=
total 30,000/=

We inaonekana umejichanganya kwenye bold..... hawa jamaa total wamelipa 27,000 badala ya 25000= mhudumu amekula hiyo buku mbili iliyozidi na wao wamebaki na buku buku!!!!
 
Wageni wamelipa 27000 ambayo 25000 ameshukua bosi na 2000 amechukua mhudumu. Na wao wamerudishiwa elfu tatu. sasa hiyo 2000 si tayari ipo kwenye hiyo 27000 mbona tena unaijumlisha. ulitakiwa ufanya 27000 +3000=30000. Hakuna hela yoyote iliyopotea.

Are you recruiting spies? It is very interesting. Swali lako linapima mtu uwezo wa kulink vitu logically

Hilo ndio jibu lako, sio?
Mimi sikupewa jibu la hili swali. Ukitizama hapa kuna watu 5.
Kuna majibu mawili ambayo yanaelekea kueleza 1000 iko wapi. Nitatoa jibu/majibu yangu baadae. :)

.
 
Yule mhudumu alirudi na kuwakabidhi kila mmoja sh 1,000 kwani hakuwa na chenji kamili

I think jibu litakuwa kwenye hii sentensi. Hiyo 1000 anayo kila mmoja ya hao watu watatu. sasa hakuwa na chenji kamili ina maanisha nini? hapo ndo umenichanganya.
 
Hiyo hesabu ya shs 9000 iko kwenye minds za wageni. Hamna hela iliyopotea.
 
Tukubaliane mambo kadhaa:
1. Hamna hela iliyopotea

Hata mimi nakubaliana na hili. Ila swali bado halijajibiwa. Hii 1000 iko kwa nani kati ya wale 5?

.
 
Au kwa kimahesabu zaidi ngoja tufanye ivi............... kwa 25,000 ...kila mtu atakua amechangia 8,333.33333 na kwa alfu tatu 3,000 waliorudishiwa kila mtu atakua amechangia 1,000..kwa iyo ukiongeza na ile 8,333.33333 kila mtu atakua amechangia jumla ya 9,333.33333....kwa iyo 2,000 iliyobaki kila mtu atagaiwa 666.6667 kwa iyo jumla ni 10,000 kila mtu.....hamna kilichopotea
 
Back
Top Bottom