Tafadhali naombeni msaada wa kutambua kitu hiki na matumizi yake

Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
13,642
13,056
Habari wana jamvi,
Tafadhali naombeni msaada wa kutambua kitu hiki na matumizi yake. Ukikishika kipo kama sponji.
Asanteni
IMG_0362.JPG
IMG_0363.JPG
IMG_0367.JPG
 
Cha kwanza kinaitwa beautyblender..maalum kwa kupakia foundation au hata powder

Lakini mbona ni kikubwa sana? Binafsi nilihisi ni kitu wanawake wanavaa kuongeza hips ila sina uhakika ndiyo maana nkauliza nisije judge Mtu wrongly
 
Kwani shida ipo wapi!!? Kwan dhambi kuvaa hicho???? Mbona kawaida sana? Au ulijua uchawi nn
 
Jaman hicho ni kwa ajili ya kupakia foundation vipo design na size tofauti..usimhisi vibaya anapenda urembo tu
 
Jaman hicho ni kwa ajili ya kupakia foundation vipo design na size tofauti..usimhisi vibaya anapenda urembo tu

Wanawake wa Huku wanvitu kama hivyo wanavaa kama Pad kwa ajili ya kuzuia dawasa si unajua huku chai hainywewi bila supu, sasa kuna wakati supu inazidi hata akitembea inamwagika , ndio anajihifadhi.. bythe way sio vizuri kupekua mikoba ya wanawake
 
Back
Top Bottom