Tafadhali naomba msaada wenu ushauri na tiba nateseka sana

Dr Shekilango

Senior Member
Dec 30, 2013
192
117
Habari ndugu zangu, pole sana na majukumu.

Ni matumaini yangu nitapata msaada hapa kutoka kwenu.

Nafanya kazi katika Kampuni kubwa ya michezo ya bahati nasibu, hivyo basi huwa kuna shifti kama sita hivyo kwa siku na mara nyingi zinakuwa za usiku.

Mfano, naweza kuingia kazini saa mbili usiku natoka saa kumi na moja Alfajiri au naweza kuingia saa nne usiku natoka saa moja Asubuhi. Hivyo shifti zote kadhaa hwa tunatakiwa kulala vizuri ili tuweze kumudu next shift usiku wake tena.

Mimi tatizo langu sipati usingizi kila nikitoka kazini nashindwa kusinzia kabisa na ukiwa kazini si ruhusa kusinzia ni mwiko unaweza kufukuzwa kazi. Sasa nisipolala huwa nalala nikiingia usiku tena yaani next shift tena mapema sana, natishiwa kufukuzwa kazi kwa sababu ya kusinzia kazini.

Tafadhali naomba msaada wenu nifanye nini niwe napata usingizi nalala vya kutosha. Napata tabu sana mimi. Sina msongo wa mawazo nakula vizuri hela ninayo ila usingizi nakosa.

Cha ajabu nikitoka kazini mapema yaani nimeingia shift ya mchana napata usingizi mpaka asubuhi kabisa tatizo linaanza ninapotoka kazini saa moja asubuhi au kumi na moja alfajir!

Nisaidieni tafadhali. Mawazo, ushauri, tiba n.k.
 
Ahsante sana kwa ushauri lakini situmii pombe mara kwa mara. Hata nikitumia bado siwezi kulala nikitoka Baa saa nane au tisa usiku sisinzii kabisa nabaki na ulevi mpaka unaisha bila kupata usingizi na kama nikijaliwa kupata usingizi ni lisaa limoja au nusu saa nimeamka
Acha kunywa pombe kama usingizi unakusumbua. Kunywa maziwa fresh ya ng’ombe Yakiwa vuguvugu ukirudi tu nyumbani .

Maziwa yana melatonin ambayo ni chemikali inayosaidia kupata usingizi.
 
Ahsante sana kwa ushauri lakini situmii pombe kabisa mara kwa mara , hata nikitumia bado siwezi kulala nikitoka baa saa nane au tisa usiku sisinzii kabisa nabaki na ulevi mpaka unaisha bila kupata usingizi na kama nikijaliwa kupata usingizi ni lisaa limoja au nusu saa nimeamka
Kama tatizo ni kubwa muone nerologist Muhimbili. Unaweza kwenda kwa self referral kupitia emergency department. Lakini lazima uwe na tatizo la msingi lililokupeleka kama kichwa kuuma sana.

Badala ya hili inabidi upate referral ya daktari
 
Pole sana, pitia gym ukifanya mazoezi ya kukuchosha mwili utalala ila nadhani nature ya kazi yako iko stressful. Sina uhakika lakini Adrenalin ikiwa kiwango cha juu sidhani kama utalala. Acha hiyo kazi lol, otherwise utakuja kuua watu kwa kukosa usingizi as kutolala kunapunguza ufanisi.
 
Ahsante sana mazoezi nafanya lakini wapi, juzi nimewaza mpaka nikalia machozi kabisa nikijiuliza kwa nini sipati usingizi! Nimejipiga kichwa kwa hasira nateseka sana basi tu
Pole sana,pitia Gym lol..ukifanya mazoezi ya kukuchosha mwili utalala ila nadhani nature ya kazi yako iko stressful..sina uhakika lakini Adrenalin ikiwa kiwango cha juu sidhani kama utalala..acha hio kazi..lol...otherwise utakuja kuua watu kwa kukosa usingizi..as kutolala kunapunguza ufanisi
 
Mpka nakuja hapa nimefanya ninaweza isipokuwa kwenda kwa Doctor tu
Ahsante sana mazoezi nafanya lakini wapi, juzi nimewaza mpaka nikalia machozi kabisa nikijiuliza kwa nini sipati usingizi! Nimejipiga kichwa kwa asira nateseka sana basi tu
 
Ahsante sana Mungu akubaliki kwa hilo ndugu yangu, napata mateso sana
Kama tatizo ni kubwa muone nerologist Muhimbili. Unaweza kwenda kwa self referral kupitia emergency department. Lakini lazima uwe na tatizo la msingi lililokupeleka kama kichwa kuuma sana.

Badala ya hili inabidi upate referral ya daktari
 
Na stress sina kabisa kazi ya kawaida siyo ya mateso nzuri hasa ila tatizo usingizi
Pole sana,pitia Gym lol..ukifanya mazoezi ya kukuchosha mwili utalala ila nadhani nature ya kazi yako iko stressful..sina uhakika lakini Adrenalin ikiwa kiwango cha juu sidhani kama utalala..acha hio kazi..lol...otherwise utakuja kuua watu kwa kukosa usingizi..as kutolala kunapunguza ufanisi
 
Kila kitu huna piga kazi achana na usingizi sio pesa unataka usingizi wa pono wa kazi gani

wengine ikifika saa 8 usiku hamna usingizi hadi unabust na k vant ndo unarudi tena kwa machale
 
Na stress sina kabisa kazi ya kawaida siyo ya mateso nzuri hasa ila tatizo usingizi

Mkuu unaweza kusema huna stress ila sometimes hujui hili kama lipo...nature ya kazi yako inahitaji uwe una make quick judgements/decisions..especially kama unafanya A& E I sasa hii nimeona hii ina release hormone nyingine inayohusiana na stress ndio maana unakosa usingizi...
 
Anyways sijaoa kibachela tu so nikitoka job ni kulala. Jamaa yangu tunafanya kazi kampuni moja ila analala mpaka naona wivu.

Nilipomuomba ushauri alinishauri niwe nalewa kabla ya kulala nitumie kilevi au bangi, na mwisho niligundua alikuwa anatumia bangi analala unaweza kumuiba kabisa akilala saa moja asubuhi saa nane ndo anaamka wakati nimetoa macho tu Mchana,
 
Well, sasa inamaaana niende Hospital maana kuna mtu alinishauri kutumia vidonge vya usingizi! Nikagoma nisiwe addicted
Mkuu unaweza kusema huna stress ila sometimes hujui hili kama lipo...nature ya kazi yako inahitaji uwe una make quick judgements/decisions..especially kama unafanya A& E I sasa hii nimeona hii ina release hormone nyingine inayohusiana na stress ndio maana unakosa usingizi...
 
Kweli mganga hajigangi,Dr. Shekilango usijali utapata nafuu ila kuna uzi huu una watu wana matatizo km hayo unaitwa Jf usiku wa manane.
 
Back
Top Bottom