TAFADHALI NAOMBA KUJUA MATUMIZI NA FAIDA ZA TEMBO CARD (UNION PAY) CRDB

Yohana Daniel

Member
Mar 18, 2018
37
95
Habari za saa hivi wapendwa wanajamii forum natumai wengi wetu ni wazima wa Afya

Niende moja kwa moja kwenye mada husika, siku za hivi karibuni nimetoka kufungua account bank ya crdb na nilifanikiwa kufungua account ila wamenipa ATM card imeandikwa union pay.
Naomba kujua matumizi ya union pay na faida zake na zipi tofauti na zingine kama Master card na visa card in details anaejua please.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom