Tafadhali naomba kufahamu kama eid-el-fitr ni kesho ijumaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafadhali naomba kufahamu kama eid-el-fitr ni kesho ijumaa

Discussion in 'Entertainment' started by shiumiti, Sep 9, 2010.

 1. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2010
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Kwa kifupi wanajamii naomba kujua na kufahamu kama sikukuu ya EID EL FITR ni kesho Ijumaa ili niweze kujipanga vizuri kusherehekea
   
 2. a

  allydou JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 1,485
  Likes Received: 572
  Trophy Points: 280
  imekula kwako kaka, jipange kwa jmosi tu.
   
 3. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,374
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Kwa Mujibu wa ufafanuzi wa Sheikh Mkuu alioutoa jana.. Mwezi unabashiriwa kuandama leo jioni na hivyo kesho itakuwa siku ya IDD. Hata hivyo amesema iwapo mwezi hautaandama ( ingawa amesema kuna uwezeakano mkubwa wa kuandamama leo siku ya 29 kwa vile mwaka jana uliandama siku ya 30ya mfungo). Waumini wataendelea na swaumu kesho ili kukamilisha siku 30 za mfungo ambazo hata km mwezi hautaandama baada ya siku 30 watu wataadhimisha Id el fitri km kawaida.
   
 4. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hizi sherehe zinazoamuliwa na mwezi bana zinaudhi, leo mi nilijua ni mapunziko ya EID kumbe hamna kitu, anyway ngoja tulijenge taifa la "WADANGANYIKA"
   
 5. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Nimewahi pewa adhabu shule enzi hizo kwa vile nilidhani ni sikukuu.....Tatizo hata mkulima hakuwepo siku hizo...
   
 6. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  Pacific Asia + bahrain saud ARABIA .... tumekamilisha 30 leo jana hatukuona mwez!! Ofcoz bakwata leo lazima waone sababu 30 zishakamilika EAD ni ijumaa

  ead njema!
   
 7. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Ukujua km ni kesho uniambie na mimi niongeze kilo za kitimoto kwani wateja wangu wengi watakuwa wamefungulia.............
   
 8. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  Wteja wako wakirudi waambie wamishinda na njaa tu hawajafunga! kwani lengo kuu la mfungo ni kumuweka muumini sawa kiimani. kwa hiyo wape ushauri wasijisumbuwe tena kukaa na njaa:becky:
   
 9. senator

  senator JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Eid Mubarak wana JF karibuni kwangu Chamanzi kuna ubeche na madikodiko mengi tu .Wote mnakaribishwa.PM me kama unataka kujongea kwa eneo la tukio
   
 10. g

  gutierez JF-Expert Member

  #10
  Sep 10, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  kwa mapenzi na furaha,JF mimi nawapa mkono wa Iddiiii! Eid Mubarak kwa wote waumini wa dini ya kiislamu na wengineo wanaojumuika nao.
   
Loading...