Tafadhali naitaji mnisaidie katika hili

Jun 27, 2019
14
3
Nina app ya jamii forum na nilishawai kujisajili tena vizur san lakn kutka na sim yangu kuibiwa nikanunua sim nyinge kwhio nakainstal tena upya app ya jamii forum lkn kuna tatzo linanitkea kila nikijisajili unagoma kwa madai kua akount yangu haijulikan nimesharest mara nying san had nywila lkn inagoma ila sas nikiinglia upnde wa google hiv kila kitu nafanya kusoma pmja na kupost kwamaan hio naomben msaada ili niweze kutmia app na si kuinglia huku googl
 
Sawaaa.
 
Back
Top Bottom