Tafadhali, nahitaji msaada wako.

Sep 27, 2015
57
52
Hellow JF's members

Ni matumaini yangu nyote mu-wazima wa afya.
Kifupi, mimi ni kijana mwenye elimu ya Chuo Kikuu katika kozi ya Project Planning and Management, ninaishi mkoani Dar es salaam. Ninajitokeza mbele yenu kuomba nafasi ya ajira. Nina uzoefu usiopungua miaka miwili katika PROJECT PROPOSALS WRITE UP, MONITORING AND EVALUATION and PROJECT SCREENING.
Pamoja na hayo nina uwezo wa ku-perform ADMINISTRATIVE DUTIES and OPERATIONS MANAGEMENT DUTIES. Pia nina uwezo on TUTORING the subjects based on PROJECT MANAGEMENT, SMALL BUSINESS& ENTREPRENEURSHIP(subject) and HUMAN RESOURCE MANAGEMENT(subject).
Nimeleta kwenu ombi langu hili nikiamini na ni ukweli usio na shaka kwamba, JAMII FORUM ni forum inayowakutanisha watu mbali mbali, na baadhi yao ni watu wenye maamuzi katika ajira ndani ya taasisi mbalimbali.
Hivyo natumai ombi langu litapata mwitikio chanya.
Kwa mwenye kuhitaji maelezo ya kina, mawasiliano yangu ni +255 719 518367
Ahsanteni sana, na
MUNGU akubarikini.
 
Back
Top Bottom