Tafadhali msaada wa haraka

halikela82

Senior Member
May 14, 2013
187
18
Mapenzi haya balaa tupu. Kuna mdada kajaa jirani na nyumbani kwangu nilivyomwana x ya1 kiukweli nlimwangalia kama x3 kwa haraka nikagundua kitu huyu dada ni mzuri wa sura hata na umbo lake pia. Sasa baada ya kupeleleza nakuona mwenyewe kumbe ameachika harafu ana watoto wa3 nikapiga moyo konde kwa kujisemea mwenyewe potezea.haaa! Sasa kila nikimwona natamani kumwambia kitu nimefikia hatua mbaya mwenzenu jamani kiasi kwamba hata nikamwona anaongea na sim nataman kujua anaongea nanan wakati cjamwambia chochote nimekufa nimeoza sijasema naye juzi tumepanda wote gari kwenda kazini bahati nzuri tukakaa kiti k1 mungu wangu cjui niseme kitu gan wana jf mnielewe kifupi ni hayo tu msaada ewnu na mjue KAACHIKA
 
kuachika kusikupe tabu huenda
huyo mume ndio alikua na shida
fwata moyo wako ila usisahau kupima awali ya yote
 
kama sio kuchekesha basi unasikitisha!!! sasa unataka tukusaidie nini? kukutongozea? kuzibua mdomo wako ili uweze kutongoza? kukupa mashairi ya kughani kwa huyo mdada? tukupe pesa ukahonge? au unataka msaada wa nini? khaaaa....dunia ina maajabu!
 
ungekuwa n wewe ungefanyaje kashusha enjini3 harafu ww umekolea na bado kapigwa chini na mmewe huko ungeanzia wapi??? Usinilaum tu.
 
Mapenzi haya balaa tupu. Kuna mdada kajaa jirani na nyumbani kwangu nilivyomwana x ya1 kiukweli nlimwangalia kama x3 kwa haraka nikagundua kitu huyu dada ni mzuri wa sura hata na umbo lake pia. Sasa baada ya kupeleleza nakuona mwenyewe kumbe ameachika harafu ana watoto wa3 nikapiga moyo konde kwa kujisemea mwenyewe potezea.haaa! Sasa kila nikimwona natamani kumwambia kitu nimefikia hatua mbaya mwenzenu jamani kiasi kwamba hata nikamwona anaongea na sim nataman kujua anaongea nanan wakati cjamwambia chochote nimekufa nimeoza sijasema naye juzi tumepanda wote gari kwenda kazini bahati nzuri tukakaa kiti k1 mungu wangu cjui niseme kitu gan wana jf mnielewe kifupi ni hayo tu msaada ewnu na mjue KAACHIKA

km vp zungumza nae kwani unahitaji mke basi uwe tayari na kulea hao watotot ukipenda boga penda na ua lake.
 
Mkuu opoa mzigo,sio sabuni kuwa inaisha,pia haiachi alama nani kapita!!!Halafu hawo wakubwa huwa wanatulia maana starehe zote kisha pitia anajua maisha ni nini,sio hawa watoto dot.com
 
Anza kwa kuulizia watoto wanasoma shule gani na account namba ya shule zao. Kisha jua ada ni sh ngapi na kalipie ya mwaka mzima. Atajisemelesha mwenyewe. Careful mumewe asijue mapema hadi ulipe ada kabisa.
 
Mapenzi haya balaa tupu. Kuna mdada kajaa jirani na nyumbani kwangu nilivyomwana x ya1 kiukweli nlimwangalia kama x3 kwa haraka nikagundua kitu huyu dada ni mzuri wa sura hata na umbo lake pia. Sasa baada ya kupeleleza nakuona mwenyewe kumbe ameachika harafu ana watoto wa3 nikapiga moyo konde kwa kujisemea mwenyewe potezea.haaa! Sasa kila nikimwona natamani kumwambia kitu nimefikia hatua mbaya mwenzenu jamani kiasi kwamba hata nikamwona anaongea na sim nataman kujua anaongea nanan wakati cjamwambia chochote nimekufa nimeoza sijasema naye juzi tumepanda wote gari kwenda kazini bahati nzuri tukakaa kiti k1 mungu wangu cjui niseme kitu gan wana jf mnielewe kifupi ni hayo tu msaada ewnu na mjue KAACHIKA
Naona umemzimia na kumhusudu huyo mdada na mbona umeliwekea kizingiti sana suala la yeye kuwa kaachika kwani waloachika hawana roho au hawapaswi kupendwa?nakushauri kabla hujamzukia uchunguze sababu gani zimefanya aachike!Hao watoto watatu amezaa na mwanaume mmoja au kila mtoto na babaake?Na kama kila kitu kipo safi ww fuata moyo wako bro!
 
folow your heart..kuachika wameachika wangapi mbona hili ni suala la kawaida tuu mkuu..
 
duu kupima muhimu sana .na lazima ujue sababu za kuachika kwake ili uweze kukubaliana na yote ila inaweza kua mungu kakupangia huyo au hata shetani pia.
 
lazima kwanza ajue kama talaka imeshatolewa ili awe na uhakika hakuna ndoa kisheria,vinginevyo atajikuta anakamatwa ugoni
 
Hizi lugha zenu za vifupisho hizi ukimaliza kusoma thread mtu unashindwa kushauri maana nguvu zote za kike na za kiume zinaisha
 
haahaahaa! Nguvu za kike na kiume? Mkuu umeniongezea cku moja ya kuishi! Loh! Tehtehteh!
 
Ndo maana nkaomba ushauri maana humu kuna watu wameshakumbana na changamoto kama hzi ndo wanipe mwongozo kunambia tu nifate moyo wangu haitoshi kadhalika hata me tayali naishi na mtu na nimezaa naye watoto2 mpaka tumejenga tukiwa wote. Haya sasa hapo nafanyaje moyo moyo moyo!! Tusaidiane haya ni makubwa najua wengine wataniona zezeta au mbulura haitakuwa dawa ya jambo hili njoooo na hoja mbadala wandugu. Karibuni
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom