Tafadhali Lowassa: Achana na 'active politics'; Bakia mshauri wa Taifa; furahia 80% yako

Ni kweli Lowasa angepumzika ili aungane na Mzee Mtei wawe watazamaji chini ya Jopo la Wazee CDM & Ukawa. Afu kwenye hilo Jopo la Wazee wamrudishe Dr Slaa kama Mzee wa Jopo.
 
Daudi Albert Bashite ( Paul makonda) mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ambae alipata division zero ndiyo kiongozi pekee wa mkoa asiye na cheti cha form four
 
Kwanini mnamsemea? Inaonekana mmetumwa mabwana zenu wanamwogopa basi Kwa taarifa yenu hakuna cha mikiki wala nini Lowassa atagombea
 
Back
Top Bottom