Tafadhali kama una moyo mwepesi usitazame hii video ( maiti za watoto )

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,315
33,111

Katika hali ya kustaajabisha, maiti za watoto wanaokadiriwa kuwa na umri wa siku moja au zaidi, zinazofikia idadi ya 11, zimefukuliwa katika shimo moja, jirani na maeneo ya hospitali ya Mwananyamala mcha wa leo!!. Tukio hilo limevuta hisia za watu wengi eneo hilo na kustaajabisha watu wengi.

inasikitisha sana na kutia majonzi makuu........................
 
Last edited by a moderator:
Hivi wewe ukoje mbona akili yako ya kijinga sana. Nimekuambia sheria haziruhusu kupost madudu, we mngese nini
 
Hivi wewe ukoje mbona akili yako ya kijinga sana. Nimekuambia sheria haziruhusu kupost madudu, we mngese nini
wewe huko uliko? kawambie waliokutuma hawataniweza mimi. Na wewe humu ndani hata miezi sita hujafikisha unaleta jeuri hapa J.F.? umetumwa nini wewe kuja kuichafua Jamii Forums? Moderator nakuachia huyu kijana fanya kazi yako
 
mhh mti mkavu hii issue imetikea tena kwani?? au mi sijakuelewa?? mana nnavojua mimi hii issue ilitikea kama miezi sita iliyopita au mitano ila naoan kwenye habari yako umeandika mchana wa leo jeo mchana wa leo kwa maana ya jana jumapili au???
wewe huko uliko? kawambie waliokutuma hawataniweza mimi. Na wewe humu ndani hata miezi sita hujafikisha unaleta jeuri hapa J.F.? umetumwa nini wewe kuja kuichafua Jamii Forums? Moderator nakuachia huyu kijana fanya kazi yako
 
VIDEO - Wahindi Wanatishaa!!! Kipaji cha Aina Yake
6079950.jpg

Wednesday, November 23, 2011 2:02 AM
Baada ya kuangalia video hii chini usijaribu kuyafanya utakayoyaona kwani unaweza ukapoteza uhai wako bure. Yalikuwa ni mashindano ya kutafuta vipaji nchini India lakini wahindi hawa wameonyesha mambo ya hatari sana na kuwafanya wawe gumzo duniani. Lilikuwa ni kundi linalojiita Warriors of Gojo ambalo liliingia ukumbini na kuwaacha majaji na watazamaji wakibaki hawaamini kama wanayoyaona yanafanywa na binadamu wa kawaida.

Wasanii wa kundi hilo walifanya shoo ya hatari sana ambayo iliwafanya wabaki wakivuja damu baada ya kumaliza shoo hiyo.

Miongoni mwa matukio ya hatari waliyoyafanya ni kuvunja matofari yaliyoweka juu ya kichwa kwa kutumia nyundo. Kupigana na nyundo na mbao, kulala juu ya misumari huku wakibebana, kuvunja balbu na kuzitafuna. Pia mmoja wa wasanii hao alilala chini huku gari na pikipiki zikipita juu ya kichwa chake na mwili wake.

Kama hauna moyo mwepesi angalia video ya shoo hiyo chini.

VIDEO - Wahindi Wanatishaa! Kipaji cha Aina Yake

CHANZO. VIDEO - Wahindi Wanatishaa!!! Kipaji cha Aina Yake
 
Last edited by a moderator:
Kama vitu ni vichafu kwanini unaviweka kwenye public viewing.....u seem to be nasty....na hii sio sifa... kuna watu wana video na picha chafu lakini wanaona umuhimu wa kuwa hapa si mahali pake... Ya kwanza umeweka mtoto anakanyagwa na mtu mzima katika post muda si mrefu then unakuja na hii..unadhani inafundisha nini jamii yetu...Crap
 
Unaonekana uliifungua thread bila kusomat heading?! Jamaa ameandika ka hauna moyo mgumu usiangalie sa we umeangalia ya nin!?
 
WATUHUMIWA WA UCHAWI WACHOMWA MOTO LIVE KISII NCHINI KENYA

HII IMANI YA KIPUMBAVU SIJUWI ITAKWISHA LINI HUKO KWETU EAST AFRICA?
 
Last edited by a moderator:
video inatisha? Bora mi sitaiona, maana sina deki.
Hao walio wachoma wenzao walijuaje kuwa ni wachawi?
ndio ukae ukijuwa sisi waafrika bado tupo nyuma sana kimaendeleo Wazungu wanakwenda Mwezini sisi bado tunafikiria mambo ya uchawi tu bujibuji akiwa na macho mekundu eti naye pia ni mchawi hahahahahahah mbona kazi ipo tutafika kule tunakokwenda lakini mkuu bujibuji??????????????
 
lakini kusafiri kwa ungo sio sayansi??
mi natamani hii sayansi ingefundishwa mashuleni.
 
Back
Top Bottom