Tafadhali jiunge na Tanzania Poultry Breeders Association (TPBA)

Nakazia hoja yako Mkuu,atupe ufafanuzi yakinifu haswa.


Mleta Maada naona kakkimbia, Hii kitu ni nzuri ila sasa kuna vitu vimejificha vingi sana.

1. Ni nani waanzilishi? Majina yao tuyajue kabisa.

2. Na kwa nini ikaanzishwa kimya kimya na baada ya kusajili ndo watu watangaziwe kujiunga?

3. Kwa nini ofisi iko kwenye jengo la kampuni nyingine ya kuku?

4. Faida zake ni zipi za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja

Hizi association niliona hata Kenya ipo na some time inawatetea wafugaji kwa Serikali yao kuhusu maswala mengi sana kama vile
- Kodi za vifaa vya kufugia
- Subsidise
- Kulinda soko la ndani na kazalika

Na kule ilianzishwa na wanachama wote sio watu walijifungia wakaanzisha n then wakawatangazia watu kujiunga.
 
Back
Top Bottom