Tafadhali jihadhari na tapeli huyu wa Instagram!

Kweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
1,152
302
Kuna matapeli maarufu kwenye mtandao wa Instagram, hii account yenye jina la zanzibar_electronics_og ni matapeli ambao ukiangalia utadhani ni wafanyabiashara wakubwa kulingana na followers.

Lakini hawa ni matapeli ambao hawana duka physically na wala hawana bidhaa yoyote, wanawaibia watu kwa kuwaahidi wafanye malipo na kisha watawatumia bidhaa zao, wamekua wanabadilibadili jina la kampuni, walijifanya wapo Darajani, Zanzibar ila kesi zilivokuwa nyingi sasa wamebadili wanadai duka lao lipo Chakechake Pemba, angalizo hakuna duka la electronics hapo kwenye sehemu.

Tafadhali tusaidiane kuwaokoa ndugu zetu wasitapeliwe zaidi. Sambaza kwa wengine wengi. Ahsanteni sana.
 
Tatizo wabongo wengi,wanapenda vitu cheap sana mwishowe wakiibiwa ndo akili inafunguka,Njia rahisi ya kumkamata mtu tapeli ,kama hataki kutoa direction aliopo muelekeze,apeleke sehemu ambayo wewe utakuwa na access na mtu.

Kama ni tapeli hawezi kwenda,lazima atakuforce tu umtumie hela!!Ulimwengu wetu wa sasa ni wa technology ila wapuuzi wachache ndo wanatuharibia biashara
 
Hivo bado kuna watu wanatuma pesa kwanza kabla ya kupata mzigo? Hizo ni zama za mawe za kati.
Ndiyo! Mimi binafsi mwaka jana nilifanya manunuzi mtandaoni na nikalipia gharama zote, jumla Tsh. 40,000.

Ila kabla ya hapo nilifanya research na kupitia reviews za watu mbalimbali waliowahi kufanya biashara na duka husika, baada ya kutuma pesa mida ya usiku kama saa 1 nikatumiwa risiti ya mzigo. Kesho yake nikapokea mzigo wangu tokea Dar ukiwa sawa na kamili na nilichoagiza ndiyo nilikipata.

Utapeli upo ila bado kuna maduka yana wauzaji waaminifu, research binafsi na kupitia reviews ni muhimu kabla ya kufanya malipo. Binafsi nilijiridhisha ndiyo nikatuma pesa.
 
Hao wa kuuza TV ya 2.5M kwa shilingi laki 6 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ halafu wanamtumiaga demu! Nilimtwanga maswali ikabidi akate simu tu maana majibu alikosa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Kuna matapeli maarufu kwenye mtandao wa Instagram, hii account yenye jina la zanzibar_electronics_og ni matapeli ambao ukiangalia utadhani ni wafanyabiashara wakubwa kulingana na followers.

Lakini hawa ni matapeli ambao hawana duka physically na wala hawana bidhaa yoyote, wanawaibia watu kwa kuwaahidi wafanye malipo na kisha watawatumia bidhaa zao, wamekua wanabadilibadili jina la kampuni, walijifanya wapo Darajani, Zanzibar ila kesi zilivokuwa nyingi sasa wamebadili wanadai duka lao lipo Chakechake Pemba, angalizo hakuna duka la electronics hapo kwenye sehemu.

Tafadhali tusaidiane kuwaokoa ndugu zetu wasitapeliwe zaidi. Sambaza kwa wengine wengi. Ahsanteni sana.
 
Kuna matapeli maarufu kwenye mtandao wa Instagram, hii account yenye jina la zanzibar_electronics_og ni matapeli ambao ukiangalia utadhani ni wafanyabiashara wakubwa kulingana na followers.

Lakini hawa ni matapeli ambao hawana duka physically na wala hawana bidhaa yoyote, wanawaibia watu kwa kuwaahidi wafanye malipo na kisha watawatumia bidhaa zao, wamekua wanabadilibadili jina la kampuni, walijifanya wapo Darajani, Zanzibar ila kesi zilivokuwa nyingi sasa wamebadili wanadai duka lao lipo Chakechake Pemba, angalizo hakuna duka la electronics hapo kwenye sehemu.

Tafadhali tusaidiane kuwaokoa ndugu zetu wasitapeliwe zaidi. Sambaza kwa wengine wengi. Ahsanteni sana.

Kununua biashara instagram tena bongo ni hatari,wabongo % kubwa sio waaminifu....Hata akikuletea inakuwa sio kama iliyokuwa kwenye picha insta.
 
Back
Top Bottom