Tafadhali Jaji Makame zungumza na wananchi mapema, kuondoa wasiwasi Please! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafadhali Jaji Makame zungumza na wananchi mapema, kuondoa wasiwasi Please!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mzee Mwanakijiji, Nov 1, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Ninawasihi sana watu wa Tume kuhakikisha matokeo yaanza kutoka mapema jamani. Asubuhi inakuja, watu wanaamka hakuna matokeo, mnawapa wasiwasi na kuanza kutengeneza tension, mtaleta polisi na kujaribu kuwatawanya, mtawaumiza watu please. Au mtu atoke na kuzungumza na wananchi msiache tetezi na uvumi kujengeka. Pleaseeeeee! Liacheni litakalokuwe liwe.


  Hali hii ya wasiwasi inazidi kuongezeka na si ya lazima kabisa. Na mtu ambaye asizungumzie hili kwa sasa ni Rais Kikwete au viongozi wa kisiasa mtasababisha manung'uniko yasiyo ya lazima, naomba chonde chonde, mwamko uliopo na hisia zilizopo sasa zitatupeleka pabaya. Tume iamke mapema iwezekanavyo kuwatuliwa wananchi hasa vijana ambao baadhi ya maeneo wameanza kuonesha kupoteza utulivu.
   
 2. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Siku zote hapa ndiyo chaguzi za Africa huanza kuwa na utata! Nilitegemea tume watakuwa laiv on TV tukiwaona wanafanya nini na wakitoa updates say kila baada ya nusu saa!

  Anywayz ushauri wako MM ni muhimu sana kuavoid unnecessary tensions and possibly injuries
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  kwa sababu Nyambala unajua Dr. Slaa akija Dar sasa hivi, hapatakalika hapo? Saikolojia ya mob inapoanza kupanda msishangae tu yatakayotokea.
   
 4. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  That is absolutely true na mbaya zaidi muungwana akajitokeza say kukemea fujo, yaani hawa jamaa maeneo kama haya ndiyo huwa wanaprove they are not for the pple!

  Tume haina email active? we can send this to them!
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  :A S angry::A S angry::A S angry: Slaa aje tu
   
 6. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Not for now!
   
 7. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,211
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  Ni kweli. Tume ikikaa kimya wananchi wanaweza kudhani imekwenda Ikulu kujadiliana na Rais namna ya kufanya, kama ilivyokuwa Kenya.

  Ni vema Tume ikaonekana inafanya nini mpaka uchaguzi ukamilike.
   
 8. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Matokeo yalianza kukosekana tangu jana. Huu ni upuuzi wananchi wamepiga kura wanahitaji majibu mambo ya ujambazi yamepitwa na wakati leteni matokeo hili ni jambo muhimu hivi sasa kuliko kitu chochote kile.
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wasije wakaleta mambo kama ya Kivuitu wa Kenya
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  naona Tume haiko serious hata kidogo hii ni kasoro
   
 11. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  WATCHDOGS wetu wawe alert na mawasiliano yanayoingia na kutoka NEC maana I smell a RAT.

  Mwanakijiji, unajua msemaji mkuu ni aliyekuteua hivyoa lazima akupangie what to say and where. Makame anasubiri maelekezo kutoka kwa manunda wachache wa TISS waliopandikizwa na ccm. Ila sisi wananchi hatutapenda aina yeyote ya UHAINI.

  Mungu inusuru tanzania
   
 12. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Tume ya Kikwete... What do u expect? A reliable source told me kwamba kuliko kumruhusu Slaa kwenda ikulu, ni bora wakabidhi nchi kwa jeshi ili wakae kwa amani!!
   
 13. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Hapa ndipo tume yetu inapobidi itumie busara!!! Kukaa kimya wakati kuna majimbo ambayo yamekwishatoa matokeo ni kuleta hisia mbaya!!
  Wanapaswa kutangaza kadri majibu yanavyowafikia ili kuleta imani juu ya tume!!

  Ni kweli kuwa hawa jamaa wako tayari tu nchi iparaganyike kuliko Slaa kuingia, ijumaa nilikuwa na makada fulani, yaani wanabisha bila ya sababu ya kubisha, sababu zao ni za kijinga sana!!!:peace:
   
 14. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Brazil wako masaa kadhaa nyuma yetu wao tayari matokeo nje nje sisi bado kajinamizi ka Chama Cha Majambazi kanafikiria kanaweza kusimamisha nguvu ya umma.
   
 15. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Tunamuomba slaa asubiri kidogo

  sisi tutadeal now kwanza
   
 16. Kilbark

  Kilbark JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 558
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nia ya kuahirisha baadhi ya maeneo ni kupisha mwanya wa kuweza kuyachakachua vizuri kuweni macho. Kama ni kukaza ni kukaza tuu .Mwanzo mwisho hawa jamaa wameprove failure kabisa. **** you Kiravu ....(Hata mkini-ban I don't care)
   
 17. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,548
  Likes Received: 18,218
  Trophy Points: 280
  Dr. alirudi Dar jana, aliruka toka Karatu na chopa yake mpaka Kia, akapaa na PAA na kutua Dar jioni.
   
 18. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Du! lakini awe mpole kwa sassa!
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Nov 1, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Haya matokeo sitashangaa yakichelewa kwa wiki nzima.
   
 20. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #20
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Hapana.. matokeo ya Ubunge karibu yote yatajulikana leo.. ya Rais kwa uhakika yatakuwa tayari ifikapo Jumanne! NImeshangaa tume inatumia teknolojia kwenye kuhesabu kitaifa (which they could just use a calculator) na hawakutumia teknolojia kukusanya matokeo.
   
Loading...