Tafadhali angalia video hii bila kukosa, itakufumbua macho kuhusu elimu. Ila kama una hasira usiifungue

Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
15,815
20,660
Hakuna atakayebisha kwamba elimu tunayopata ina kasoro,tena kasoro kubwa.Wengi wetu tumekuwa tunajiuliza kwa nini mambo yako hivi yalivyo, bila majibu.Sisi tunaishia kutumia inventions za wengine tu,lakini hatuna za kwetu.Mtu anamaliza shule mpaka anapata PhD,lakini ni tegemezi,ni mtumwa wa ajira!Kwa nini?Hebu sikiliza video hii kwa makini,it will open up your mind.Ila kama una hasira usifungue video hii.

How cana I get this video
 
Back
Top Bottom