Tafadhali anayefahamu dawa ya kumfanya mtoto aache kula mchanga

brightoscar

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
360
517
Ndugu zangu nina mwanangu anakula mchanga katika hali ambayo sio ya kawaida yaani ukimuacha dakika moja tu anakula mchanga au matope machafu.

Ameumwa minyoo tunampa dawa ila kila tukienda hospital minyoo ipo tafadhali nakaribisha ushauri na anayefahamu matibabu.
 
Ana umri gani?

Kwanza anzeni kumuepusha kumuweka mazingira yenye mchanga wakati mkisubiri suluhisho zaidi.
 
"We have to learn to live with these agents. If our children live in a highly clean environment, their immune system will not be developed in the correct way, and probably, problems like allergy will be present,”
 
Ndugu zangu nina mwanangu anakula mchanga katika hali ambayo sio ya kawaida yaani ukimuacha dakika moja tu anakula mchanga au matope machafu.

Ameumwa minyoo tunampa dawa ila kila tukienda hospital minyoo ipo tafadhali nakaribisha ushauri na anayefahamu matibabu.
DAwa yake asicheze kwenye mchanga.
 
dawa yake malumalu mtoto acheze kwenye malumalu sio kwenye michanga na matope
 
Ndugu zangu nina mwanangu anakula mchanga katika hali ambayo sio ya kawaida yaani ukimuacha dakika moja tu anakula mchanga au matope machafu.

Ameumwa minyoo tunampa dawa ila kila tukienda hospital minyoo ipo tafadhali nakaribisha ushauri na anayefahamu matibabu.
Mwache mtoto a enjoy life.
Wangu anakula ofcourse lakini ninakua nae karibu namkataza kataza.
Ndi utoto sasa utafanyaje.
 
Mtu yeyote akikosa Calcium au madini ya chuma atakula vitu vya ajabu sana.
 
Back
Top Bottom