TAESA yatoa fursa kujisajili upya

Tanzania employment service agency( TAESA) iko chini ya wizara ya ajira, vijana na watu wenye ulemavu chini ya ofisi ya waziri mkuu

kazi yake ni kusaidia vijana kupata internship na ajira za mikataba serikalini na private pia ajira za kudumu sector binafsi angalizo sio ajira za kudumu serikalini maana chombo kinachohusika na ajira za kudumu ni public service recruitment secretariat (utumishi)
Asante kwa ufafanuzi mzuri
 
copy ya vyeti lazima ziwe certified? utumishi waliwahi nitema kwa kigezo hicho wakti hawajabainisha hivyo kwenye maelekezo yao
 
Nenda kwenye academic qualifications kulia utaona vidot vi3 ,click kitatokea kitu kama hapo chin kwenye pichaView attachment 2225910
Mbona Mimi inakataa ku - login inaandika wrong credintial
Screenshot_20220522-173431.jpg
 
Back
Top Bottom