Mkuu huyo anaandika kiingereza cha mtaani, ni sawasawa na kumwambia mswahili wa pale tandale aongee kiswahili sanifu, hilo sahau..mkuu kiingereza chako kina grammatical errors sana, nakushauri kabla ya kupost ungetafuta editor mzuri akusahihishe au ungetumia kiswahili tu
Sent using Jamii Forums mobile app