Tabu ley afariki dunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tabu ley afariki dunia

Discussion in 'Entertainment' started by Yona F. Maro, Jun 29, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  Jun 29, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Nimesikia kwamba mwanamuziki maarufu wa kongo , tabu ley amefariki dunia
   
 2. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #2
  Jun 29, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Umesikia WAPI?
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,001
  Trophy Points: 280
  duuu ebwanaee, ni tetesi au? maana kichwa cha mada ni kama una uhakika vile
   
 4. Bambo

  Bambo JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 237
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  mke wake si yupo hapo Dar kwani si angethibitisha!!
   
 5. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Siyo mke wake mkuu. Mbilia Belle na Tabu Ley walisha achana zamani.
   
 6. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #6
  Jun 30, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Shy,

  hebu lete link ya hii nyuzi ama itakua uzushi na itafungwa.

  Regards.
   
 7. M

  Msindima JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nami nilipanga nimuulize amesikia wapi?maana ukileta habari si unasema labda nimesikia radio one ay Tbc wakitangaza,tueleze ndugu yetu wapi umesikia?
   
 8. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #8
  Jun 30, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  NIMESHAPATA UHAKIKA KWELI AMEFARIKI ANGALIA TETESI - TABU LEY AFARIKI DUNIA - Wanabidii | Google Groups
   
 9. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145

  Hii si ni wewe...umeandika uko sasa what the point.
   
 10. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #10
  Jun 30, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Nimeuliza huko na nimeshapatiwa jibu huko ndio link hiyo tatizo nini ?? ULITAKA NITOE LINK GANI ??
   
 11. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Kama kuna ukweli wa swala hili, Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.
   
 12. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  -kuna jamaa mmoja alikuambia urudi shule.....bwa ha ha ha ha ha ha
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  hahahaha huyu mbishi sana bora umemwambia.
   
 14. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #14
  Jun 30, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Shy,

  mbona unatupatia link ya forum nyengine?..That is not really
  a credible source.Hio ni kama mtu aandike tetesi humu JF
  kisha uende huko wanabidii uwape link ni ya JF as a credible
  source to a posting.

  Hii ishu imeripotiwa na News Agency gani?
   
 15. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #15
  Jun 30, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Meanwhile umesikia ama umesoma?
   
 16. N

  NAHUJA JF-Expert Member

  #16
  Jun 30, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 15,025
  Likes Received: 15,594
  Trophy Points: 280
  Kw hiyo mie hapa bado sijawasoma ni kweli amefariki bado hamjathibitisha? naomba mnidadavulie mwenzenu
   
 17. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #17
  Jun 30, 2009
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Hakuna chombo chochote cha habari kinachothibitisha kifo cha Tabuley (nimetafuta sana kwenye mtandao). Huyu Shy naona Mods wam "ban" kuanzisha mada hapa..maana naona habari zake nyingi zina UTATA!!
   
 18. N

  NAHUJA JF-Expert Member

  #18
  Jun 30, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 15,025
  Likes Received: 15,594
  Trophy Points: 280

  Ni vema kwanza mumjue ana tabia gani, mazingira yake, shughuli yake inayompatia riziki ya kila siku kama kweli anaridhika na je ana stress yoyote? wasi m "ban" kwanza. hiyo ni hatua ya juu sana.
   
 19. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #19
  Jun 30, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  In regards to the fact that hii habari haina uthibitisho basi
  naomba kuifunga hadi ukweli utakapojitokeza.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...