Tabora: Waziri Lugola ataka hadi kufikia jioni Polisi iwe imeachia pikipiki zote ilizokamata, vinginevyo kukumbana na mkono wake

ni jambo LA kupongezwa,maana hivi sasa vituo vingi vya Post hadi central vimegeuzwa gereji za PIKPIK

lundo hadi uani,ni parking ya PIKPIK chakavu tyuu...ZAMANI walijaza mabaiskeli ya phoinex na swala..

full kuji sevia kiwese,tairi,betri..everything!!
Agizo unafikiri litatekelezeka!

Ova
 
Amewashirikisha TRA lakini ? maana wengine makosa yao yako linked na kutolipia leseni mbalimbali.
 
Kwaio kadi ya pikipiki unaibadilisha vipi usajili wake?
Kwani wanaonunua magari na vyombo vingine card wanabadili vipi?
Si umiliki unabadilishwa kwa kufuata taratibu za kawaida Sheikh!!!
Ukishaziwa unapewe receipt na documents zingine kukusaidia kuhamisha umiliki
 
Back
Top Bottom