Tabora: Wazee walalamika kunyimwa dawa katika vituo vya afya

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Baadhi ya wazee wanaoishi katika kambi ya kutunza wazee ya Kijiji cha Aman mkoani Tabora wameiomba serikali kuwaboreshea huduma za afya kupitia mfumo wa Tiba kwa Kadi maarufu TIKA kwakuwa wamekuwa wakisimbuliwa pindi wanapohitaji huduma za matibabu kwa kufanyiwa vipimo tu na kuambiwa dawa wakajinunulie.

#AzamTVUpdates #AzamNews

FB_IMG_1578303838882.jpg
FB_IMG_1578303844480.jpg
 
Hapo mtaanza kulaumu madaktari na manesi. Ila hali halisi ni kwamba dawa hakuna. Hizi kelele za dawa zisikie tu kwa wanaoimba na kusifu ila kiuhalisia dawa hakuna na watu wanateseka sana. Dawa zilizopo ni Panadol na Amoxilin/ Amplox tu.
 
Back
Top Bottom