Tabora: Wabunge wa CHADEMA waachiwa kwa dhamana; Kupokewa kwa maandamano Igunga

KIJIGOJUNIOR

Member
Mar 5, 2011
27
17
Wana JF,

Taarifa niliyoipata hivi punde ni kwamba wapambanaji wa Chadema, Meneja wa Kampeni Sylivester Kasulumbayi (MB) na Suzan Kiwanga (MB)waliokuwa wamekamatwa kwa hila na polisi wa magamba wameachiwa huko Tabora na sasa muelekeo ni kwenye uwanja wa mapambani Igunga, Hakuna kulala mpaka kieleweke
 
Hongera Tundu Lisu,umelala macho kuhakikisha wanaachiwa, wanapata dhamana, au kupelekwa mahakamani.Pole sana kwa jinsi kwa kazi nzito ya kupambana na uonevu wa CCM na Serikali yake. Mungu akulinde
 
Wana JF,

Taarifa niliyoipata hivi punde ni kwamba wapambanaji wa Chadema, Meneja wa Kampeni Sylivester Kasulumbayi (MB) na Suzan Kiwanga (MB)waliokuwa wamekamatwa kwa hila na polisi wa magamba wameachiwa huko Tabora na sasa muelekeo ni kwenye uwanja wa mapambani Igunga, Hakuna kulala mpaka kieleweke

This is good for those who wishes for the better of Tanzania and its people. All the best to fans and fighters for equality before the law!!!!
 
Something is happening,huyu sio Malaria sugu ninayemjua.
Mkuu ndiye yeye mwenyewe huyo! Hivi bado hujazoea vituko na ucomedy wa Malaria Sugu?
Leo huyu jamaa kaamua kuingia kidogo kwenye 18 zenu....subirini kesho atavyokuja kuharibu
hali ya hewa hapa jamvini kwa kuiponda CDM na viongozi wake. Mie binafsi nimeshamzoea na huwa anipasui kichwa
 
Wana JF,

Taarifa niliyoipata hivi punde ni kwamba wapambanaji wa Chadema, Meneja wa Kampeni Sylivester Kasulumbayi (MB) na Suzan Kiwanga (MB)waliokuwa wamekamatwa kwa hila na polisi wa magamba wameachiwa huko Tabora na sasa muelekeo ni kwenye uwanja wa mapambani Igunga, Hakuna kulala mpaka kieleweke

tuthibitishie tafadhali usije kuwa unataka kupima upepo, maana magamba nao wana mbinu za kutaka kujua maoni ya watu hapa JF
 
Jamani,

Mimi sijamuelewa vizuri aliyeleta taarifa hii. Taarifa ni nzuri kwamba wameachiwa. Sasa maswali yafuatayo hayana majibu:

1. Wameachiwa na polisi kwamba hakuna ushahidi wa kuwafikisha mahakamani.

2. Wameachiwa na polisi kwa maelezo kwamba warudi kuripoti kesho/wiki ijayo au?

3. Wamefikishwa mahakamani, wakasomewa shitaka (lipi) halafu wameachiwa kwa dhamana. Kama jibu la hapa ni ndiyo, wameachiwa kwa masharti gani.

Tafadhali yeyote mwenye majibu ya maswali haya atusaidie.
 
Back
Top Bottom