kama maendeleo ndio yaaina hii basi tunakazi kubwa kuelimisha watu kama hawa
ebana naomba huu uwe utani ila kama kweli...kuna mdau anapenda kusema WEWE NI JINGAAA nimeenda tabora hali ni mbaya maisha ya watu hayatii moyo, barabara ya kwenda tabora kipande hata hakizidi km 10 unatumia masaa manne kufika kutokana na ubovu halafu magreda yamekaa tu sijui wanasubiri 2015 uchaguzi waanze kazi yaani bora kupanda treni halafu hawa jamaa sijui wamelishwa nn.....
mkuu umekurupuka tu nawewe! kuna nini sasa hapo hicho kiwebsite?
eti "serikali ya nyinyiemu na uongozi imara" nya...........fu.
gamba la kobe ww! hivi unaongelea Tabora ipi? Tabora hii uenye cheyo,Kiloleni, Ng'ambo, mwinyi etc, bila shaka ww utakua umevuta kidogo kitu kutoka kwa Rage. eboo ..!
Shemeji, taratibu tafadhali, kumbuka falsafa ya gamba ni ya rais halafu usitake kuongea usilolijua. Soma tena thread tangu utanielewa kusudio langu usinikosee adabu bila sababu, tunatofautiana sana uelewa.
Ndio mimi hasaa, cheki nami at godfrey120@hotmail.com au call 0786546555, sina cha kuficha.
Mungu wangu, hivi Tabora wanalima Chai? Makubwa?
Ndo ushangae. Hivi Tabora kuna mlima Kilimanjaro??? kwa nini wasingeweka magofu ya kale ya mtemi Milambo au Isike??
du! Tayar nimekuelewa mkuu sema 2 nilifanya papara, Nafuta kauli yangu ww sio gamba bali ww ni kamanda.
Shardcole@Tabora1
Machozi yananitoka kila wakati ninavyosikia habari kuhusu mkoa wangu wa Tabora.Lawama zote za kuwa nyuma kiuchumi mkoa wetu ni sera za kihuni za ccm kutokea tumepata uhuru!Mkoa wetu umekuwa yatima tukiwa pamoja na Kigoma bila sababu ya msingi!Binafsi namkubali Nyerere lakini sijapata jibu mpaka leo kwanini alikataa kutujengea kiwanda cha Tumbaku Tabora na badala yake akakipeleka morogoro ambapo sijui kama wanalima Tumbaku.Lami mpaka karne hii ya 21 imebakia kwenye midomo ya wanasiasa tu!!Vijana wenzangu wa Tabora mabadiliko tunaweza yaleta sisi wenyewe,tusikate tamaa.Hizi initiatives tunazozianzisha kama vikundi vya maendeleo kama (TESDO),website kama yako ndugu Kassanga hakika zitatusaidia kutukutanisha pamoja na kupeleka maendeleo mkoani kwetu!CCM imetudhulumu sana bila ya kuwa na sababu ya msingi lakini mungu yupo tutatoka tu!!
Kassanga,
Nilichanganya mambo. Nafikiri utakuwa ni ndugu wa Kassanga niliyedhani ni wewe. Wewe ni Godfrey wakati yeye ni Gerl**** na nasikia anafanya kazi Bank kwa sasa.
Mara ya mwisho tumeonana naye ni tulipomalisha JKT na kukawa na Harusi nyumbani kwa Mzee William Kassanga pale SIKONGE. Kama utakuwa ni ndugu basi utakuwa umeshamfahamu.
Anyway, hakuna ubaya wowote kukufahamu. Ntakufatuta kwa simu.