Tabora school(Tabora Boys and Girls) a.k.a vipaji/the head of Tanzania..Mpo?

Mnakumbuka wakati shule imefunga,
usafiri treni, wale wa mwanza...... wale wa kigoma.... wale wa mpanda........ wale wa DSM na arusha,
Behewa lilikuwa linachorwaje?
train-passenger.jpg

mkuu nimeangalia picha ulizoweka hakika wewe ni wa ukweli,
hila lile gari likiitwa HOMA YA JIJI/KITONGOJI bado linapiga mzigo? kama unapicha yake rusha baba.
 
mkuu nimeangalia picha ulizoweka hakika wewe ni wa ukweli,
hila lile gari likiitwa HOMA YA JIJI/KITONGOJI bado linapiga mzigo? kama unapicha yake rusha baba.
hahaaa,
kweli umenikumbusha mbali...!
Homa ya jiji!
Inaendeshwa na madereva wawili.
Kukata kona inabid wote washikilie steringi kulizungusha!
 
Tabora Boyz, sehemu niliyokulia, imenilea miaka sita ya sekondari, ndio mwanzo wa hivi nilivyo...! Nawashukuru walimu wangu bila kumsahau Mzee Mrisho, Masele, Kansimba, Choya, Mwombeki, Kasubi na wengine wote tuliokuwa nao.

Nawashukuru wanafunzi wenzangu tuliokuwa nao na kusaidiana mpaka leo hii. Kweli yale maisha yalikuwa mazuri sana ila hayawezi kujirudia tena imebaki historia...!!
 
By the way,Ukipitia uzi huu kabla ya saa 11, njoo Brajec Mikocheni.Wana Tabora School tutakutana hapo kwa tulio DSM.alika uwajuao.
 
mimi ni Mlambo.. na ni kati ya wale tuliokuja siku ile usiku tukawapa kichapo ile mbaya boyzia mnakumbuka kile kipigo? nakumbuka wakati tunarudi skuli tukapitia kwa dada zenu tukawpa kichapo pia na wengine tukawagegeda, I miss dem good days, mitaa ya ng'ambo, chemchem, kanyenye, isevya, mwanzaroad... Tabora Mboka Manyema!
Mwaka gani huo TBSS walichapwa?ilikuwaje?
 
Mimi nlikuwepo pia TABORA BOYS kuanzia 1999 hadi 2002.
Mama-K na NYANGARA zako nazikumbuka sana.

Mess COMMANDER bwana PAMBA namkumbuka pia

During those days MZEE MRISHO, MASELA, MKUMBA (Ndg D), CHOYA, NUMERAL, MADUKA, MAKALI, MADAFU walikuwepo pale.
Watu maarufu darasani kwangu walikuwa LUCHAPA MAKELEZU, ZILAMPICHAI, KABUSI PELEKA, CRETUS LIPOKA, MIHAMBO, IZENGO na jamaa mmoja anaitwa SETH WANYASWI..

Nimekumbuka mbaali sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom