Tabora: Polisi kuanzisha msako wa wanaotaka kujinyonga na kisha kuwapeleka Mahakamani

Ndiyo maana wadau wanadai akina Mc Pilipili hawawachekeshi!

Maisha yetu ya kila siku yamejaa vichekesho lukuki.
 
utaalamu umeongezeka
Screenshot_2020-01-03-11-50-06.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha haaa hawa jamaa bhana...wanasema chochote tu hata kisichowezekana ili kumfurahisha mkuu! Sasa najiuliza huyu mnyakyusa mwenzangu atatumia ndumba ama tunguli za wapi kubaini mtu mwenye viashiria vya kujinyonga? And fine,akiisha kujiridhisha bila kuacha shaka kwamba mtu ana viashiria hivyo na akamtia kwenye mikono ya sheria ni sheria ipi atatumia kumhukumu? Na vipi victim akaweka pingamizi la hukumu husika ya kulazimishwa kuwa hai dhidi ya dhamira yake ya kujiua?
 
Mimi nilisoma nikashindwa kuelewa, nikaona niliweke hapa maana inawezekana hii elimu yangu ya darasa la 7A haikunisaidia sana.
 
Atashitakiwa kwa kusudio la kutaka kujidhuru.... shahidi jamhuri
Ha ha haaa hawa jamaa bhana...wanasema chochote tu hata kisichowezekana ili kumfurahisha mkuu! Sasa najiuliza huyu mnyakyusa mwenzangu atatumia ndumba ama tunguli za wapi kubaini mtu mwenye viashiria vya kujinyonga? And fine,akiisha kujiridhisha bila kuacha shaka kwamba mtu ana viashiria hivyo na akamtia kwenye mikono ya sheria ni sheria ipi atatumia kumhukumu? Na vipi victim akaweka pingamizi la hukumu husika ya kulazimishwa kuwa hai dhidi ya dhamira yake ya kujiua?

Jr
 
Back
Top Bottom