Intention ya Mtu anayetarajia KujinyongaSasa watapimaje wenye hiyo haja
Au wataamhalia wenye huzuni huzuni hivii, na hii hali ya uchumi R.I.P. mkoa mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilisoma nikashindwa kuelewa, nikaona niliweke hapa maana inawezekana hii elimu yangu ya darasa la 7A haikunisaidia sana.Ha ha haaa hawa jamaa bhana...wanasema chochote tu hata kisichowezekana ili kumfurahisha mkuu! Sasa najiuliza huyu mnyakyusa mwenzangu atatumia ndumba ama tunguli za wapi kubaini mtu mwenye viashiria vya kujinyonga? And fine,akiisha kujiridhisha bila kuacha shaka kwamba mtu ana viashiria hivyo na akamtia kwenye mikono ya sheria ni sheria ipi atatumia kumhukumu? Na vipi victim akaweka pingamizi la hukumu husika ya kulazimishwa kuwa hai dhidi ya dhamira yake ya kujiua?
Ha ha haaa hawa jamaa bhana...wanasema chochote tu hata kisichowezekana ili kumfurahisha mkuu! Sasa najiuliza huyu mnyakyusa mwenzangu atatumia ndumba ama tunguli za wapi kubaini mtu mwenye viashiria vya kujinyonga? And fine,akiisha kujiridhisha bila kuacha shaka kwamba mtu ana viashiria hivyo na akamtia kwenye mikono ya sheria ni sheria ipi atatumia kumhukumu? Na vipi victim akaweka pingamizi la hukumu husika ya kulazimishwa kuwa hai dhidi ya dhamira yake ya kujiua?
Swala siyo kumshtaki bali ni namna ya kumbaini mtu mwenye kusudio la kujiua na kumdhibiti maana kama yeye anataka kujiua atashindwaje kukuua wewe unayetaka kumpokonya kamba yakeAtashitakiwa kwa kusudio la kutaka kujidhuru.... shahidi jamhuri
Jr
Ushahidi utalenga mambo gani? Hapa ndugu Mshana Jr changamkia fursa unaweza kuwa wakili upande wa Jamhuri ama kusimama kama mpelelezi kabisa wa kutafuta viashiria kwa kutumia elimu yetu ileeee ya kusoma nyota! Asante!Atashitakiwa kwa kusudio la kutaka kujidhuru.... shahidi jamhuri
Jr
Hata CIA uwezo huo hawana.Swala siyo kumshtaki bali ni namna ya kumbaini mtu mwenye kusudio la kujiua na kumdhibiti maana kama yeye anataka kujiua atashindwaje kujiua wewe unayetaka kumpokonya kamba yake