Tabora: Ni lazima uandamane vinginevyo hatua kali za nidhamu zitachukuluwa dhidi yako

KIPUMPUSWA

Senior Member
Jul 16, 2011
106
35
Ofisi ya mkuu wa mkoa tabora imesambaza waraka ukiwaelekeza wafanyakazi wote mkoani hapa kushiriki katika maandamano ya kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa tanganyika. Waraka huu unasambazwa na kikundi cha watu wasiopungua 8 pia wanajeshi wapo. Wanapofika ofisi, mkuu wa ofisi anatakiwa ataje idadi ya wafanyakazi wake, idadi hiyo kuandikwa katika kitabu.Para ya mwisho wa waraka huo inasomeka hivi ,ni lazima wafanyakazi wote katika taasisi yako washiriki katika maandamano hayo. Mfanyakazi ambaye hatohudhuria maandamano hayo hatua kali za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yake.Wakuu mliopo tabora najua waraka huu mmeupata.
 
hapo kuna kitu kinafichwa.haya maadhimisho ya miaka 50 yamekaa kisiasa.wanataaka waaminishe watu kuwa miaka hamsini tumepata maendeleo.mbaya zaidi Tanzania haijafikisha miaka 50 kwa sababu TANZANIA imezaliwa mwaka 1964.sasa hivi Tanzania ina miaka kama 46 hivi.sasa kwanini wanataka kutulazimisha kukubali uongo?.hii ni miaka 50 YA TANGANYIKA.haya mambo madogo ndo yanafanya zanzibar waone wanapelekeshwa na TANGANYIKA KWA KIVULI CHA TANZANIA.mia
 
Lazima nitafute sababu ya kukacha mipango hii ya kidharimu,iweje tulazimishwe?kulikoni?
 
................This is not the Tanzania of 1947,we are aware of everything which happens within the Government.Huo waraka ukiwa Tanzania nzima itakuwa safi sana,nausubiria ofisini kwangu,and they will see my reaction,and I think they will no me exactly.
 
Ofisi ya mkuu wa mkoa tabora imesambaza waraka ukiwaelekeza wafanyakazi wote mkoani hapa kushiriki katika maandamano ya kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa tanganyika. Waraka huu unasambazwa na kikundi cha watu wasiopungua 8 pia wanajeshi wapo. Wanapofika ofisi, mkuu wa ofisi anatakiwa ataje idadi ya wafanyakazi wake, idadi hiyo kuandikwa katika kitabu.Para ya mwisho wa waraka huo inasomeka hivi ,ni lazima wafanyakazi wote katika taasisi yako washiriki katika maandamano hayo. Mfanyakazi ambaye hatohudhuria maandamano hayo hatua kali za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yake.Wakuu mliopo tabora najua waraka huu mmeupata.
Je inaruhusiwa kuwana na bango lako binafsi yaani kuandika mandishi uyatakayo au watawaandikia...
 
Lazima nitafute sababu ya kukacha mipango hii ya kidharimu,iweje tulazimishwe?kulikoni?
Mkuu sitashanga kuona walaka huo kwani huku Arusha siku alipokuja Kikwete kipindi cha kampini walituma watu hapa mjini kuwataka watu wafunge ofisi na soko la huko relini nalo lilifungwa...inawezekana wamegundua watu hawatajitokeza ndiyo maana wamegundua njia mpya lakini mimi sitoenda labda waturuhusu kuwa na mabango yenye maelezo tunayotaka sisi...
 
Je inaruhusiwa kuwana na bango lako binafsi yaani kuandika mandishi uyatakayo au watawaandikia...

Hakuna maelekezo ya waandamanaji kuwa na mabango. Sijui ni kwa nini wapiganaji walihusishwa katika zoezi hilo la kusambaza huo waraka. kama kutishiana nyau vile!
 
Huo waraka kama ni kwa Tanzania nzima, ukomee huko huko, sisi Tarime na Rorya hatutaki kuuona kabisaa, maana sisi siyo sehemu ya Tz tuna serikali yetu.
 
Huo waraka kama ni kwa Tanzania nzima, ukomee huko huko, sisi Tarime na Rorya hatutaki kuuona kabisaa, maana sisi siyo sehemu ya Tz tuna serikali yetu.
<br />
<br />
hapana mkuu jasusi, mi nina wazo tofauti. acha watulazimishe kuandamana, na twende kwa wingi lakini kila mmoja, kwa kutumia haki yetu kupitia ibara ya 18 ya katiba, twende na bango lenye ujumbe kwa serikali. kila mmojamapewe uhuru wa kuandika anachofikiri na wala asibughudhiwe
 
Mkoa wa Tabora ni kati ya mikoa ambayo mahudhurio ya sherehe za kitaifa huwa na watu waachache mno. Sasa wameona hawawezi kuwabana raia wakawaida ndio maana wameamua kwa kuwa lazimisha watumishi kushiriki pamoja na wanafunzi wa primary.
 
<font size="3"><b>................This is not the Tanzania of 1947,we are aware of everything which happens within the Government.Huo waraka ukiwa Tanzania nzima itakuwa safi sana,nausubiria ofisini kwangu,and they will see my reaction,and I think they will no me exactly.</b></font>
<br />
<br />
Big up.
 
Mkuu sitashanga kuona walaka huo kwani huku Arusha siku alipokuja Kikwete kipindi cha kampini walituma watu hapa mjini kuwataka watu wafunge ofisi na soko la huko relini nalo lilifungwa...inawezekana wamegundua watu hawatajitokeza ndiyo maana wamegundua njia mpya lakini mimi sitoenda labda waturuhusu kuwa na mabango yenye maelezo tunayotaka sisi...

Crashwise, kama jina lako lilvyo, huwa una CRASH hoja kwa BUSARA sana. I admire you!

WE CAN
 
Kwani unapoteza nini ukishiriki hayo maandamano. Si bora hayo hayana hatari ya uvunjifu wa amani?
 
Back
Top Bottom