Tabora: Mzee (miaka 60) Asakwa akidaiwa kumbaka mwanafunzi (Miaka 13) baada ya kumrubuni

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
2,049
4,904
Patrick Mtahungwa (60) anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa darasa la tano mwenye umri wa miaka 13 baada ya kumpa pipi, soda na miwa.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Safia Jongo amesema mtuhumiwa huyo amekimbia baada ya familia ya mwanafunzi huyo anayesoma Shule ya Msingi Muhulidede kutoa taarifa kituo cha Polisi Shitage kilichopo wilayani Uyui.

Jongo amesema wanamsaka popote alipo ili afikishwe kwenye vyombo vya dola.

Kwa mujibu wa kamanda huyo, mtuhumiwa baada ya kumpa miwa na pipi ndio alimfanyia ukatili huo akiwa ametegea mama wa mwanafunzi huyo akiwa safarini na mwanafunzi huyo alipoulizwa alikiri kufanyiwa vitendo hivyo mara tano.

Ofisa mtabibu wa zahanati ya Shitage Wilaya ya Uyui, Joseph Bundala amesema mwanafunzi huyo alipimwa VVU na mimba na hakukutwa na chochote.

Mama mzazi wa mwanafunzi huyo amesema, "Namuona mzazi kama mimi sasa kuwafanyia watoto kitendo hicho ni uchungu mkubwa na sikutegemea."
 
Huyu angefanyiwa alichomfanyia huyu dogo na baada ya hapo kumfunga maisha maybe ingetoa onyo kwa wengine kama yeye.
 
Huyu angefanyiwa alichomfanyia huyu dogo na baada ya hapo kumfunga maisha maybe ingetoa onyo kwa wengine kama yeye.
Mkuu, bado natafakari Ni kwa Nini week chache hizi wanaume wasio na akili wanawanyanyasa madogo sipat jibu!

Kuna haja ya kuwekwa sheria Kali ambazo zitawabana wanaume wawe na uwezo wa kucontrol hisia, zilizopo hizi inaonesha hazifai!
 
Samahani mkuu...kambaka ama kamshawishi tena Mara 5 khaaq.

Buguruni kimboka madogo 13year wanauza mbunye kama Kawa na s/mtaa zinaona.

Serikali kitengo cha ustawi wa jamii haina maamuzi JAMII YA KISASA NI KAMA USHETANI UPO KATIKATI YETU
 
Mzee alikuwa na ugwadu

Ova
Hata Kama ni ugwadu mzee Baba, lazima kuwepo na aibu , Dingi mtu mzima kiac hicho anaenda kumrubuni Mtoto!!?,

wakina Mama wapo kibao kwa mtaa wanatafuta watu wa kuwagegeda hawawapati

Huyu dingi alikosa size mpaka akaona dogo anamfaa??

Huu ndio utahira wenyewe inatakiwa mzee asakwe popote alipo akikamatwa wakadhiwe nyapara wamgegede kidogo afu taratibu nyngne za kisheria zifuate!
 
Mara 5?! Katoto kako kimya?! Sawa mzee ana ugwadu, ila hivi vitoto vyetu vya sasa vina walakini, mbona kama vinapenda, tujiulize je hivi vitoto vyapenda utamu wa pipi na miwa zaidi kuliko maumivu ya kujamihiana?

Kuna tatizo hapo.
 
Samahani mkuu...kambaka ama kamshawishi tena Mara 5
Mkuu weka akiba ya maneno ndgu yangu, akifanyiwa mtoto wako ndo utajua kabakwa au kashawishiwa!

Hao wanaojiuza Ni tofauti na huyu, mzee angalau angeenda kununua maana zipo TU kuliko kuvizia Mama mtu atoke ndo anachukua soda, na miwa kwenda kumrubun mtoto!

Huu Ni uharifu wa kijinsia!
 
Mara 5?! Katoto kako kimya?! Sawa mzee ana ugwadu, ila hivi vitoto vyetu vya sasa vina walakini, mbona kama vinapenda, tujiulize je hivi vitoto vyapenda utamu wa pipi na miwa zaidi kuliko maumivu ya kujamihiana?!
Kuna tatizo hapo...
Mara nyingi huwa tunawakemea wazazi kwa tabia zao za kuwa wakali kwa watoto, kuwafokea, kuwapiga na hatimaye kutengeneza uadui!

Hapa ndipo tatizo lilipo, unashindwaje kuwa karibu na mtoto na hali umemzaa mwenyewe??

Watoto wengi wanakutana na hali hiyo ya kunyamyasika kijinsia, wanashindwa pa kwenda kwa sababu akimwambia mzazi anahisi atapigwa kwelikweli!
 
Samahani mkuu...kambaka ama kamshawishi tena Mara 5 khaaq
Buguruni kimboka madogo 13year wanauza mbunye kama Kawa na s/mtaa zinaona...
Serikali kitengo cha ustawi wa jamii haina maamuzi JAMII YA KISASA NI KAMA USHETANI UPO KATIKATI YETU
Sheria imetafsiri kwamba kumuingilia msichana wa chini ya umri wa miaka 18 ni ubakaji kwakua hana umri wa utu uzima.

Kwahiyo ameshawishi kwa miwa na pipi ila kumuingilia ni kumbaka
 
Kuna umuhimu mkubwa sana wazazi kuongea na kuwafundisha watoto wao wa kike juu ya masuala ya uzazi,ngono na ubakaji hata kama hao watoto ni wadogo sana.
 
Back
Top Bottom