Tabora: Mwandishi wa channel 10 asakwa na polisi

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,066
454
Polisi mkoani hapa wanamsaka na udi na uvumba mwandishi wa channel 10 Juma Kapipi baada ya mwandishi huyu kurusha matukio ya kuuwawa kwa wanachi na jeshi la polisi wilayani Urambo hivi karibuni.Inasemekana mwandishi huyu ametoweka mkoani hapa na hajulikani alipo.
 
Polisi isitafute watu uchawi wakati tunguri, hirizi, nyungo na mikoba wanavyo wao wenyewe.
Polisi iache matumizi ya nguvu yaliyopitiliza
 
Back
Top Bottom