Tabora: Mtendaji Kata hatiani kwa Kughushi Nyaraka za Malipo ya Tsh. Milioni 7.6 badala ya laki 6

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,021
1,609
Mahakama ya Wilaya ya Igunga, imemtia hatiani Leonence Manyila Doto, Mtendaji wa Kata ya Lugubu kwa kosa la kughushi muhtasari na kuhamisha Tsh. 7,600,000 kutoka kwenye akaunti ya Kata na kuingiza kwenye akaunti ya fundi badala ya kulipa Tsh. 600,000.

Mshtakiwa amehukumiwa kwenda jela miaka 2 au kulipa faini ya Tsh. 1,400,000.

Chanzo: TAKUKURU
 
Kwahio akilipa 1.4M ndio imeisha hio?
Au hizo walimuwahi hajazichukua?

anyway bado ni uonevu, Watu wanaopiga ma bilion huwezi kuwasikia.
 
Mahakama ya Wilaya ya Igunga, imemtia hatiani Leonence Manyila Doto, Mtendaji wa Kata ya Lugubu kwa kosa la kughushi muhtasari na kuhamisha Tsh. 7,600,000 kutoka kwenye akaunti ya Kata na kuingiza kwenye akaunti ya fundi badala ya kulipa Tsh. 600,000.

Mshtakiwa amehukumiwa kwenda jela miaka 2 au kulipa faini ya Tsh. 1,400,000.

Chanzo: TAKUKURU
1. Ameiba milioni Saba faini 1,400,000. Yaani moja ya tano.
TAKUKURU mnatupa ujumbe gani hapo? Nadhani qualification ya kujoin TAKUKURU ni mtu awe amefika darasa la tatu na awe wa kukurupuka.
2. TAKUKURU, zile taarifa ya CAG bado hamjaipata??
 
Mahakama ya Wilaya ya Igunga, imemtia hatiani Leonence Manyila Doto, Mtendaji wa Kata ya Lugubu kwa kosa la kughushi muhtasari na kuhamisha Tsh. 7,600,000 kutoka kwenye akaunti ya Kata na kuingiza kwenye akaunti ya fundi badala ya kulipa Tsh. 600,000.

Mshtakiwa amehukumiwa kwenda jela miaka 2 au kulipa faini ya Tsh. 1,400,000.

Chanzo: TAKUKURU
Mtu anapiga milion Saba anatoa faini milion Moja kweli aliyeturoga kafa
 
Mtu anapiga milion Saba anatoa faini milion Moja kweli aliyeturoga kafa
Milioni sita amegawana yeye, hakimu na TAKUKURU labda watuhakikishie alirudisha hiyo milioni Saba.
Ndio maana vijana wa mahakama wanazungusha mitako ya nyani inayo bugia mafuta.
 
Watu mnashangaa fine ya 1.4 Bure tu. Huo ndio mgao wake uliobaki.

Hakimu Kala katika hiyo 7m, mapolisi wamekula pasenti yao sasa mlitaka alipishwe ngapi jamani na.wanajua kabisa walichomuachia katika Saba hiyo
 
Alafu huyo mtendaji hawezi kula hio pesa peke yake maana muhutasari lazima uwe na mahudhurio na diwani ndo atasaini maana ndio mwenyekiti wa kata then engineer nae ndo mtu wakuruhusu huyo mtu alipwe bado mkurugenzi ndio mpitishaji wa mwisho ila lazima atafutwe mbuzi wa kafara
IMG-20230603-WA0001.jpg
 
Kwa mjin mtendaji wa mtaa anakula Maisha sana.. kamshahara kadooogo ila marupurupu... Hawezi kosa 30000 për Day Hasa kwenye majiji...utendaji kata ni ukiranja tu
Alafu huyo mtendaji hawezi kula hio pesa peke yake maana muhutasari lazima uwe na mahudhurio na diwani ndo atasaini maana ndio mwenyekiti wa kata then engineer nae ndo mtu wakuruhusu huyo mtu alipwe bado mkurugenzi ndio mpitishaji wa mwisho ila lazima atafutwe mbuzi wa kafaraView attachment 2645099
 
Back
Top Bottom