Tabora Boys: Special school inayopotea!

Ukiona nyani mzee jua kakwepa mishale mingi......mkuu shule za wahitimu 40 kwa darasa!,mpaka waibe mitihani ndo wanasikika ndo unalinganisha na magwiji wa taaluma? zingine hazija fikisha hata miaka 10 kuwepo kwake? hata zingine ndo nazisoma hapo kwenye post yako kwa mara ya kwanza kabisaaaaa! au unazungumzia kwa rank ipi ya mkoa au taifa?.Kuzisifia shule za vipaji siyo kuzidharau zingine ni hali halisi na kuwatia moyo wengine ni vema kama ulivyofanya kuzitia moyo hizo shule ulizotaja.

UNAMTINDIO WA UBONGO WEWE
HAMNA KITU KAMA HICHO , JILAUMU KWA KUSOMEA MISHULE YA KATA!! , KAMA HUJASOMEA SPECIALSCHool wewe ni ndezi, kama wewe uliyepost hii comment bwabwa mkubwa wewe ,niondokee takataka
...hivi wewe mpiga msuli una akili timamu??unafkiri hili ni jukwaa la wahuni eee!!wewe nina wasiwS kama hata dv3 umepata..mtu mzima na akili zake hawezi kusema maneno hayo!!unajua hapo unamdharau baba yako,mama yako,ndugu zako family yako na rafiki zako kwa sababu sio wote wamepitia huko kwenywe vipAji..kuwa mkubwa kaka usipost tena hizi pumba utachekwa
 
itabidi mkaushieni jifanye kama hamjaona ujinga anao u post. Yani tunavyomjibu anavimba kichwa, huyu dogo bila shaka sio mzima.
 
Niliwahi kuyasema hapa na ndo yashatimi hivo… MPANGO MADHUBUTI WA KUIPITA MARIAN GIRLS KWA SHULE ZA SERIKALI UMEFANIKIWA…. HEKO IGOWOLE, KISIMIRI NA KIBAHA…..
 
UNAMTINDIO WA UBONGO WEWE
HAMNA KITU KAMA HICHO , JILAUMU KWA KUSOMEA MISHULE YA KATA!! , KAMA HUJASOMEA SPECIALSCHool wewe ni ndezi, kama wewe uliyepost hii comment bwabwa mkubwa wewe ,niondokee takataka

We ndio ndezi la kutupwa yn umekariri,,,,kipaji cha mtu na mauwezo yake ndo kitamtoa..kusoma cjui kibaha or whatever ka ipo ni ipo tu michano popote so jipange na kuna watu wamesoma shule za kawaida tu alaf wakatia michano ya maana,,,,,,kakojoe ukalale
 
Niliwahi kuyasema hapa na ndo yashatimi hivo… MPANGO MADHUBUTI WA KUIPITA MARIAN GIRLS KWA SHULE ZA SERIKALI UMEFANIKIWA…. HEKO IGOWOLE, KISIMIRI NA KIBAHA…..

mmhh kuna watu mna maono ya mbali kwenye huko jf… loohh kweli ni home of great thinkers
 
Kwa mtazamo wangu tabora boys ni shule ya vipaji maalum inayopotea na zisipofanyika juhudi zozote zile za makusudi baada ya miaka mitano hii shuke itapotea katika chati na i think kisimiri ni shule inayokuja kwa kasi kureplace tabora boys.....kwa mfano kwa upande wa advanced level tabora boys imekuwa ikionekana mara chache sana katika top 5 best schools and mwaka huu imekuwa ya kumi na tano...is that a special school??? haipo katika hata shule 10 tu bora za hapa tanzania...na olevel wao ndo hata hawasikiki tanzania ukicompare na olevel wa kibaha au mzumbe...kwa upande wa olevel ushahidi upo hapo chini katika attachment......SPECIAL SCHOOLS HAPA TANZANIA NI:
1.KIBAHA
2.MZUMBE
3.ILBORU
4.KISIMIRI
5.TABORA GIRLS
6.KILAKALA
7.MSALATO
Na kuna hii inaitwa Kibaha Girls kwa habari za jikoni in the coming years serikali ina mpango wa kuifanya special school
******Tabora Boys nimewaweka hapa makusudi coz wasipoangalia watapoea katika chati muda si mrefu****

NOTHING PERSONAL BROTHERS IM JUST TRYING TO THINK OUT OF THE BOX
Ushahidi hapa

you saw it coming duuhh… salute kwako mkuu
 
icon1.png
Re: ziko wapi shule za vipaji maalum?

Shule za vipaji maalumu zitabaki kuwa hivyo lazima tuukubali ukweli huu hata kama wengine tunamachungu ya kutopata nafasi katika shule hizo.kuweka kumbukumbu vizuri kwa wavulana shule hizi ni Kibaha,Iliboru.Mzumbe na Tabora wavulana.

Kulinganisha shule hizi na feza boys,kisimiri,igawele na shule hizi ni kulinganuisha jua na nyota.
1.Toka mkoloni shule hizi zimedhihirisha ubora wake mpaka leo.
2.Idadi ya wanafunzi wanaotahiniwa katika shule hizi ni kubwa sana ukilinginisha na shule nilizozitaja hapo juu zenye watahiniwa wachache mfano Feza ilikuwa na watahiniwa 60 pekee.daraja la 1-36,daraja la pili 18,daraja la tatu 6,hakuna four wala ziro.igowole ambayo ni ya kwanza ina watahiniwa 30tu,Kisimiri watahiniwa 52 tu.daraja la 1 -34,la pili 10,la tatu 8.

3.Shule nyingi hizi ndogondogo hutegemea sana udanganyifu kwenye mitihani ndiyo maana inaweza chomoza mwaka huu ikapotea kabisa isionekane tena wakati hizi za vipaji watu hutunisha misuli hasa kombi zenyewe nyingi ni za sayansi mfano pcb Hebu tuzipe

kwa mamtiki hiyo shule za vipaji maalumu zimezihirisha uwezo wao angalia matokeo yake na idadi ya watahiniwa.

1.Kibaha watahaniwa 161,daraja la kwanza 82,la pili 59,la tatu 18,la nne 2 hakuna 0.
2.Mzumbe watahiniwa 125,daraja la kwanza 56,la pili 38,la tatu 29,la nne 2 hakuna 0.
3.Iliboru watahiniwa 150,daraja la kwanza 53,la pili 50,la tatu 44,la nne 3 hakuna 0.
4.Tabora wavulana watahiniwa 158,daraja la kwanza 49,la pili 62,la tatu 45,la nne 2 hakuna 0.

Huwezi kuzinganisha na shule za watahiniwa wachache,hebu linganisha na shule zingine za wanafunzi wengi kama Tambaza,Pugu,Milambo ndo utajua kweli hizi shule ni majembe.

hazina daraja 0,daraja la nne ni 7 tu

hongereni madogo kwa kudhihirisha uwezo wenu njia nyeupe vyuo vikuu.

UKIONA NYANI MZEE JUA KAKWEPA MISHALE MINGI​
 
Mmmhh umenena mkuu
 
Naam nakubaliana na wewe mkuu kiuhalisia mazingira ya Tabora boys sio favourable kwa elimu bora,wanafunzi wanajisomea katika vyoo vya zamani wao wanaviita chemba...disgusting!!!...shule kama museum
Fika ihungo sekondari,, yani unaweza mwaga chozi
 
Back
Top Bottom