Tabora: Binti wa miaka 19 ajifungua watoto watano

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,634
26,372
Monica David,binti mwenye umri wa miaka 19 aliyekuwa na ujauzito wa miezi mitano amejifungua watoto watano kwa Siku mbili.

Binti Huyo alifikishwa hospitalini ambapo Siku ya kwanza alijifungua mtoto mmoja na Siku ya pili alijifungua watoto wanne.

Watoto hao waliokuwa wa jinsia ya kiume wote hawakuweza kuishi kwa sababu walizaliwa kabla ya muda.

Akihojiwa,baba wa watoto hao ameelezea kusikitishwa na vifo vya watoto wake kwani Siku zote maombi yake ilikuwa kupata mtoto wa kiume.

Hali ya afya ya binti huyo inaendelea vizuri.

Chanzo:CG FM radio.
 
Back
Top Bottom