Tabora: Abiria wabaini basi la Arizona walilokuwa wakisafiria kutoka Kigoma lina Kunguni, wagoma kuendelea na safari

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Abiria waliokuwa wakisafiri na Basi la Kampuni ya Arizona kutoka mkoani Kigoma kuelekea jijini Dar es salaam, wamegoma kuendelea na safari baada ya kufika Tabora na kubaini uwepo wa Kunguni katika viti vya basi hilo

Baadhi ya abiria wameleeza malalamiko yao juu ya usafiri huo kwa kudai kuwa hawawezi kuendelea na safari hiyo kwa sababu kunguni wamezidi.

Akizungumzia hali hiyo, Hamisi Mshihiri ambaye ni Kamanda wa kitengo cha ukaguzi wa Mabasi Mkoa wa Tabora, amesema baada ya gari kufika mkoani humo alichukuwa jukumu la kuzuia basi hilo kutokana na kukosa vigezo pamoja na kuwa na mapungufu ya usafi.

"Mimi kama Mtaalam wa Magari na mwenye dhamana eneo hili, baada la kulijaribu nimeona gari hili lina mapungufu ya ufundi na usafi, kwa kweli hatuna namna nyingine zaidi ya kulizuia, kwa sababu abiria wanateseka” amesema Kamanda Hamisi Mshihiri

Serikali ipo katika mpango wa kuweka vituo maalum vya ukaguzi wa Mabasi katia kila vituo vikuu vya Mabasi kwa kila Mkoa, ambapo mabasi ya abiria yatafanyiwa ukaguzi kabla ya kuanza safari na mwisho wa safari.
 
Hayo ndiyo masharti ya utajili wa huyo tajili sasa mnataka awauwe kunguni afilisike?
 
Hao kunguni ndani ya basi wameingizwa na abiria haohao, sasa wanapojitia kugoma, kamata sukuma ndani, na dereva sukuma ndani, konda naye sukuma ndani na kunguni wake.
 
Abiria waliokuwa wakisafiri na Basi la Kampuni ya Arizona kutoka mkoani Kigoma kuelekea jijini Dar es salaam, wamegoma kuendelea na safari baada ya kufika Tabora na kubaini uwepo wa Kunguni katika viti vya basi hilo

Baadhi ya abiria wameleeza malalamiko yao juu ya usafiri huo kwa kudai kuwa hawawezi kuendelea na safari hiyo kwa sababu kunguni wamezidi.

Akizungumzia hali hiyo, Hamisi Mshihiri ambaye ni Kamanda wa kitengo cha ukaguzi wa Mabasi Mkoa wa Tabora, amesema baada ya gari kufika mkoani humo alichukuwa jukumu la kuzuia basi hilo kutokana na kukosa vigezo pamoja na kuwa na mapungufu ya usafi.

"Mimi kama Mtaalam wa Magari na mwenye dhamana eneo hili, baada la kulijaribu nimeona gari hili lina mapungufu ya ufundi na usafi, kwa kweli hatuna namna nyingine zaidi ya kulizuia, kwa sababu abiria wanateseka” amesema Kamanda Hamisi Mshihiri

Serikali ipo katika mpango wa kuweka vituo maalum vya ukaguzi wa Mabasi katia kila vituo vikuu vya Mabasi kwa kila Mkoa, ambapo mabasi ya abiria yatafanyiwa ukaguzi kabla ya kuanza safari na mwisho wa safari.
Mabasi yanahitaji kuwa yanapigwa FAMIGATION kila baada ya miezi kadhaa, mwezi jana nilienda BARIADI Huko simiyu ilikuwa balaa kwenye basi ila sasa ilibidi tulale stendi ili asubuhi twendelee na safari maana hapakuwa na usafiri dah iyo ofisi na yenyewe kwenye kochi zao ehehe ilibidi nilale nje kibarazani sikuwa na namna
 
Back
Top Bottom