TABOO: Utaweza kumruhusu mke/mume wako kufanya mapenzi na mtu mwingine mbele yako?

Hizo ni tamaduni za baadhi yao... Sio wote. Ni kama tu huku kuna baadhi ya watu wan utamaduni wa mwali 'kujaribiwa' na baba mkwe kwanza kama anamfaa mwanae.
 
Ila kwa ukwel kabisa hata watu wasiposema hapa hapa tz wapo wanaume wasiokuwa na wivu japo pia najua na akili imepungua kidogo. Mimi nimeshuhudia kabisa mwanaume anamtengenezea mipango rafiki yake ambaye ni bachela akale mzigo kwa mkewe kwa moyo mmoja kabisa
Itakuwa hana mapenzi ya dhati na mke wake, wala hamueshimu au itakuwa ni wale sogea tukae.Inasikitisha
 
Hahaaaa. Ndio maana nikajisemea wanaweza hao wenye ngozi nyeupe.

Kina sie mmh. Ile ya kufumania tu kuna wengine wanafia milangoni sasa hiyo ya kukaa kabisa na kusikilizia mwenzio anavyopokea mautamu. Mmh. Hapana aisee.
Ni kweli kabisa tuwaachie ngozi nyeupe ndo wanayaweza tuu.
 
Habari zenu wadau wa JF
Leo nmekuja na hii kitu inaitwa TABOO nilipata kuona kwenye channel moja DSTV

Huko Australia wanandoa ili kudumisha penzi lao huwa wana tabia kila baada ya mUda kila mwanandoa anatafuta mtu stranger (sio wa mtaani mnaenda kumtafuta wote wawili) itategemea ataanza nani

Kama ataanza mama basi siku hiyo mtatoka kwenda sinema ama bar za usiku mwenza wako atachagua mtu anayemtaka mtamkaribisha kwenu (KITANDANI) na kuruhusu afanye mapenzi na mkeo ukiwa unaona au kama huwez unaweza kukaa hata sebulen siku nzima...na asubuhi unaandaa chai au chakula kuwatengea na mnajumuika pamoja mezani....

Vivyo hivyo kwa baba nae siku yake anafanya........

Je we mbongo unayeona papuchi au dudu ya mwenza wako ni kama uhai wako utaweza?


Tuongee hapa sitaki matusi tafadhali........................
wewe umeoa?
 
NAKUMBUKA kitu nilisha wai fanya ni kimoja tu. tulibadilishana mpenzi wangu na rafiki yangu mimi nika chukua wa jamaa na mpenzi wangu jamaa akamchukua. usiombe show nilio fanya maana hatari nilihisi nimepata kimlupo usiku kucha then baadae kila mtu tu mpenzi wake na tukawa fresh. ila sasa tatizo likawa hapa demu wa jamaa akanipenda sana sana na manzi yangu haku mpenda jamaa hata kidogo sasa kila dakika demu anatafuta chansi ni mle jamaa kama akisafili au akitoka na mishe zake.
 
Mbona hayo mambo ya kawaida kabisa kule kwetu BK sisi kubadilishana ni kama kazi tu.Hata kujengeana ujasiri na kuondoa wivu ni mtiririko wa kinyumbani tu.Wewe huwezikumiliki mke/mume kama gari.Mke/Mume ni kiumbe tu chenye akili na utashi.Ukimzuia atafanya wewe hujui kwani kumlinda huwezi......Kwa hiyo msisitaajabu wewe kama huli ndizi usinishangae mimi mla mihogo.Unajua jambo la msingi hapa ni kuheshimiana tu.Huwezi kufanyia barabarani au baa !!
 
Back
Top Bottom