Table of content | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Table of content

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Crashwise, Feb 7, 2010.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,177
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Naomba msaada kwa anaejua kutumia Table of contents, anieleweshe maana inanizingua...


  Asante
   
 2. bishoke

  bishoke JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2010
  Joined: Jan 12, 2010
  Messages: 276
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole sana.
  Ni rahisi kutengeneza lakini ni muhimu ukisema unatumia version ipi ya MS word. Kuna tofauti kidogo namna ya kutengeneza kama unatumia word ya 2007 na word za nyuma kidogo.

  Asante
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,971
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 0
  Your 1st stop kwenye software nyingi zenye sifa ya USABILITY ni kwenye HELP. Kuna njia nyingi za kutengeneza TOC

  A:
  Ukifungua MS world uliyonayo katika task bar chagua HELP then kwenye option Microsoft word help au kitu kama hicho mi natumia 2003. Then Type TOC au Table of Contents. Utaletewa materila nyingi ni mambo gani na jinsi ya kuyafanya kwenye word.

  B:
  Otheriwise cheki hii link imebase kwenye Ms2003 lakini ukisoma itakupa mwanga hata kama una 2007 ni pag mbili tu
  http://www.bradford.ac.uk/lss/documentation/toc-2003/table-of-contents-2003.pdf

  Kwa detail audio tutorial ya TOC tembelea tovuti Microsoft http://office.microsoft.com/training/training.aspx?AssetID=RP011356831033&CTT=6&Origin=RP011356821033


  c

  Kusumaarize kenye task bar ya Ms ord Ms word Nenda kwenye Insert then kwenye option za insert chagua Reference halafu chagua Index and tables . kwenye window itakayokuja select table of contents

  NB .Vichwa vywa habari unavyotaka viwe kwenye table of contents visiwe in Normal format badala yake viweke kwenye HEADING1 au HEADING2


  NB

  Usisahu kueka backup copy ya doc yako ili mambo ya kiharibika uwe na kianzio kingine
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,177
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu ngoja niifanyie kazi..
   
 5. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,684
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Kisha lete jibu kweupeeeeeeeeee hapa hapa jf kisha mpe thanks mkuu huyu!
   
 6. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Km unatumia MS Word 2007. Kwanza highlight title zako yaani unayotaka ziwe main heading basi zihighlight then click heading one, sub heading zinazofata highlight then click heading two endelea hivyo kwa zote unazotaka ziwe heading. Kisha click kwenye reference tab. Kwenye kona pameandikwa table of contect then click drop down arrow halafu chagua format unayotaka then click itaingia. Wakati unafanya hivyo uwe umeselect kabisa sehem ambayo unataka hiyo table ofcontent iwepo.
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,479
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Kaa wewe ni mwanasayansi tumia Latex. Wachana na hizo toys za akina Bill Gates.
   
 8. I

  Isskia Member

  #8
  Mar 6, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nashukuru saana kaka, kwani nimefaidika ni mimi nilikuwa naandaa proposal, japokuwa sikuwa nimeomba, ila imenisaidia, na inaonyesha ni rahisi mnooo, Daah, ahasante sana kaka.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...