Jitihada za kumbembeleza Adul rahman Omar Kinana bado zinaendelea tusikate tamaa kwan hata wakati wa Jakaya alikataa mpaka walipotumwa kina Mzee Mkapa na Mwinyi akaambiwa mapenzi yako ya kweli kwa Chama yatapimwa kwa kukubali Jukumu hili zito ndipo akakubali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.