Tabibu Mwaka akaidi amri ya serikali

Amebadiri gea angani kutoka kwenye Foreplan Clinic kwenda Foreplan Company Limited! Hii haihusiani kabisa na kuwachungulia mama na dada zetu nyeti zao(ila nyuma ya pazia atafanya tu maana mgonjwa achagui dawa. KAmpuni yake ina Matawi Marekani, South Africa na Namibia(naomba kusahihishwa)

Kwanini wamsumbue lakini wakati makampuni mengi yanabadiri majina, unaikumbuka Sheraton hotel, Major Drill wa hapa Mwanza mbona wanaitwa Capital drill siku hizi tena ndani ya ofisi zilezile...
 
Nasikia anamajigambo sana! He should well know kwamba utapeli kwenye hii zama za magufuli hutafumbiwa macho.kinachoniuzi huyu jamaa anatapeli wanyonge openly !kwa ku take advantage wa uelewa mdogo wa mawatanzania masikini wengi !my advise kwa bwana tabibu!tafuta biashara nyingine period!!!
 
Baada yakufungiwa amekaidi agizo hilo na anaendelea na utabibu km kawaida,na hata leo alikuwa na kipindi kilichorushwa na channel 10..je mtu huyu yupo juu ya sheria? Yale maagizo hayamuhusu?mwenye ufahamu anifahamishe maana nimeshangazwa na hili tukio.
Kumchinja Kobe kunahitaji timing nyie tulie tu mtamsikia, hakuna aliyewahi kushindana na serikali akashinda.
 
Amebadiri gea angani kutoka kwenye Foreplan Clinic kwenda Foreplan Company Limited! Hii haihusiani kabisa na kuwachungulia mama na dada zetu nyeti zao(ila nyuma ya pazia atafanya tu maana mgonjwa achagui dawa. KAmpuni yake ina Matawi Marekani, South Africa na Namibia(naomba kusahihishwa)

Kwanini wamsumbue lakini wakati makampuni mengi yanabadiri majina, unaikumbuka Sheraton hotel, Major Drill wa hapa Mwanza mbona wanaitwa Capital drill siku hizi tena ndani ya ofisi zilezile...

Huyu ni wa kufungilia mbali awezi kuleta upuuzi wake watu wakamunyamazia - jeuri aliyo nayo bila shaka kuna mtu kwenye higher Authotity anamkingia kifua au ni mbinu za kutaka kujaribu uzumilivu wa Serikali ya Dk.Magufuli-sioni kitu kingine zaidi ya hicho - na hii ina set a very bad precedence kwa utawala wa JPJM - raia awezi kutaka kushindana/zodoa Serikali halafu akaendeleza mambo yake ya ajabu under an assumed name/kampuni nyingine, anabadirisha chupa lakini mvinyo inabaki ni ile ile.
 
Kwa hali ilivyo ngumu kwa sasa sijui umepata wapi nafasi ya kufanya umbea
 
Mwacheni azile hela za wajinga, wazee wa kutafuta nguvu za kiume huku wana miaka 65 na ushee imeandikwa "wajinga ndiyo waliwao" jamaa kacheza na fursa kwa muda muafaka.
 
Mwacheni azile hela za wajinga, wazee wa kutafuta nguvu za kiume huku wana miaka 65 na ushee imeandikwa "wajinga ndiyo waliwao" jamaa kacheza na fursa kwa muda muafaka.
Kwa lifestyle yenu, vijana wengi ndo nguvu za kiume tatizo kubwa, fanya research
 
Mwaka naye hayuko smart, bahari imechafuka namna hii na yeye bado anajiexpose tu namna hii? Alitakiwa kukeep low profile
 
Wenyewe wako Dodoma kwa ajili ya kuwadhibiti BAVICHA. Mpaka warudi ndipo waje wakamkamate huyo Dr. Mwaka.
 
kama anasaidia watu waache kumuingilia. Kwa jicho la kawaida tu, nadhani kuna kutunishiana misuli na Dr.Kigwangala....
Inaonekana Dr.Kigwangala ameamua kutumia madaraka alokua nayo
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom