Tabia za wanaume Wasambaa: Binti yangu kakolea kwa Msambaa

Brooklyn

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
1,459
284
Ndugu zangu, binti yangu kaleta mchumba wa Kisambaa (Though not official yet). Binafsi sijawahi kufikiri binti yangu angeniletea wanaume wacheza ngoma na wavaa misuli (I'm not trying to offend anybody).

Wana JF hebu nisaidieni tabia za wanaume wa Kisambaa (Lushoto).

Je nimpe green light mwanangu?
 
Kwanza Mpwa umetutukana sana kwa kutuita wacheza ngoma, kuandika kwamba you are not offending anybody bado haiondoi maana kwamba hujatu-offend, ni sawa na mtu akuite mpuuuzi kisha akwambia sina maana wewe ni mpuuzi, so naomba paweke sawa hapo mahali; haya sasa kwenye swali la msing sasa; mlete tu binti yako, hakuna wanaume wakarimu kama Wasambaa, I swear it, kwao binti yako anakua binti yao, they will treat her as thier own daughter, hawana mambo ya ajabu ajabu japo pia sio wote ila walio wengi wako huko au umesahau kuwa Civilization ilianzia kule, ok, kwakusaidia zaidi nipe mahali mchumba mtarajiwa anapotokea kama ni Mlalo/Bumbuli/Mtae/Lushoto Mjini na baadhi ya maeneo mengine ujue umepata.

This is serious na sio uongo, uliza yoyote atakwambia, si unakumbuka kuwa ni wasambaa hawa ndio wamempa Ben Mkapa, Jaka Mwambi, Mkuchika, JK, Sumaye na wengine weengi maeneo? hio ndio nature yao. I am proud of it japo tunabaki kuwa maskini
 
Nimecheka sana! Eti wacheza ngoma na wavaa msuli!..lol.. Nimesikia watu wengi wanasema wanaume wa kisambaa ni wakarimu ila hawajui kutunza wake zao. Ni mmoja kwa mia ndo anatunza mke.
 
Ndugu zangu, binti yangu kaleta mchumba wa Kisambaa (Though not official yet). Binafsi sijawahi kufikiri binti yangu angeniletea wanaume wacheza ngoma na wavaa misuli (I'm not trying to offend anybody).

Wana JF hebu nisaidieni tabia za wanaume wa Kisambaa (Lushoto).

Je nimpe green light mwanangu?

Duh...umeshaanza kuchagua makabila? Sasa angekuletea mkwe Mngoni na zile tabia zao za kupenda naniii ungekubali au ungekataa?
 
Kwanza Mpwa umetutukana sana kwa kutuita wacheza ngoma, kuandika kwamba you are not offending anybody bado haiondoi maana kwamba hujatu-offend, ni sawa na mtu akuite mpuuuzi kisha akwambia sina maana wewe ni mpuuzi, so naomba paweke sawa hapo mahali; haya sasa kwenye swali la msing sasa; mlete tu binti yako, hakuna wanaume wakarimu kama Wasambaa, I swear it, kwao binti yako anakua binti yao, they will treat her as thier own daughter, hawana mambo ya ajabu ajabu japo pia sio wote ila walio wengi wako huko au umesahau kuwa Civilization ilianzia kule, ok, kwakusaidia zaidi nipe mahali mchumba mtarajiwa anapotokea kama ni Mlalo/Bumbuli/Mtae/Lushoto Mjini na baadhi ya maeneo mengine ujue umepata.

This is serious na sio uongo, uliza yoyote atakwambia, si unakumbuka kuwa ni wasambaa hawa ndio wamempa Ben Mkapa, Jaka Mwambi, Mkuchika, JK, Sumaye na wengine weengi maeneo? hio ndio nature yao. I am proud of it japo tunabaki kuwa maskini

Kumbe wewe ni Mgosi aisee.......................
Ni kwei Oshie, Rafiki zangu wengi ni Wasambaa, na nimekaa kule Lushoto kidogo.
 
Mwanao anaenda kula starehe mkuu huko hutakuwa na kesi ooo mume wangu hanifikishi mara oo sijui nini, wanajua mapenzi, kupenda na kutunza mwanamke, acha ushamba kwani ngoma unaenda cheza wewe
 
Ndugu zangu, binti yangu kaleta mchumba wa Kisambaa (Though not official yet). Binafsi sijawahi kufikiri binti yangu angeniletea wanaume wacheza ngoma na wavaa misuli (I'm not trying to offend anybody).

Wana JF hebu nisaidieni tabia za wanaume wa Kisambaa (Lushoto).

Je nimpe green light mwanangu?
Ulitaka akuletee mwanaume kabila gani? Halafu wewe unaonekana kama Mhaya halafu siyo wahaya wa siku hizi bali wa miaka ya 47.
 
wasambaa ,wadigo na makabila mengine wapo wanaume fresh tuuu ila nikuambie kitu ukitaka binti yako ateseke mwache aolewe huko kama yeye hajaishi pwani usikubali kwani wana mfumo tofauti wa ku-handle marriage matters i.e huku watu hawaoi wake wengi kama kule na wengi tumetoka kwenye familia ambazo baba ana mke mmoja tuu lakini kule wanakuwa na mfumo wa kuoa hata wake 4 so binti yako atateseka sana kwa sababu hajazoea mfumo wa kushare mapenzi na bwana kulala njee we but kama wewe ni wa pwani nawe mwache akapaliwe na pwaaaaaaaaaaani
 
Ndugu zangu, binti yangu kaleta mchumba wa Kisambaa (Though not official yet). Binafsi sijawahi kufikiri binti yangu angeniletea wanaume wacheza ngoma na wavaa misuli (I'm not trying to offend anybody).

Wana JF hebu nisaidieni tabia za wanaume wa Kisambaa (Lushoto).

Je nimpe green light mwanangu?[ Tatizo ushatuambia binti ndo kashakolea kwa msambaa, unataka tukushauri nini tena mkuu..!?, binti ndo kashakolea huyo..., subiri wajukuu wa kisambaa tu mzee. Hata usipompa huyo msambaa binti yako ni kazi bure tu, kitakachoendelea baada ya hapo ni maumivu tu, ni bora ukubali yeeesheee...!
 
Usichague makabila mpenzi cha muhimu ni tabia ya huyo mkwe wako mtarajiwa, yeye kama yeye yukoje? Na sio kuangalia kabila lake kwani haolei ukoo!
 
wasambaa ,wadigo na makabila mengine wapo wanaume fresh tuuu ila nikuambie kitu ukitaka binti yako ateseke mwache aolewe huko kama yeye hajaishi pwani usikubali kwani wana mfumo tofauti wa ku-handle marriage matters i.e huku watu hawaoi wake wengi kama kule na wengi tumetoka kwenye familia ambazo baba ana mke mmoja tuu lakini kule wanakuwa na mfumo wa kuoa hata wake 4 so binti yako atateseka sana kwa sababu hajazoea mfumo wa kushare mapenzi na bwana kulala njee we but kama wewe ni wa pwani nawe mwache akapaliwe na pwaaaaaaaaaaani

sio wanaume wote wa pwani wanaoa wake wengi acha kupotosha uma
 
Kwanza Mpwa umetutukana sana kwa kutuita wacheza ngoma, kuandika kwamba you are not offending anybody bado haiondoi maana kwamba hujatu-offend, ni sawa na mtu akuite mpuuuzi kisha akwambia sina maana wewe ni mpuuzi, so naomba paweke sawa hapo mahali; haya sasa kwenye swali la msing sasa; mlete tu binti yako, hakuna wanaume wakarimu kama Wasambaa, I swear it, kwao binti yako anakua binti yao, they will treat her as thier own daughter, hawana mambo ya ajabu ajabu japo pia sio wote ila walio wengi wako huko au umesahau kuwa Civilization ilianzia kule, ok, kwakusaidia zaidi nipe mahali mchumba mtarajiwa anapotokea kama ni Mlalo/Bumbuli/Mtae/Lushoto Mjini na baadhi ya maeneo mengine ujue umepata.

This is serious na sio uongo, uliza yoyote atakwambia, si unakumbuka kuwa ni wasambaa hawa ndio wamempa Ben Mkapa, Jaka Mwambi, Mkuchika, JK, Sumaye na wengine weengi maeneo? hio ndio nature yao. I am proud of it japo tunabaki kuwa maskini[Anko kuitwa mcheza ngoma haimaanishi kuwa eti umetukanwa, usiwe mwoga, sisi wabongo asili yetu wote ni makabila yenye utamaduni unaoambatana na uchezaji ngoma, cha msingi jaribu kumsihi huyo baba wa mkweo to be atulize mpira tu, binti yake keshakolea kwenu huyoo..!, kimsingi uwezekano wa kutengua mapenzi kati ya binti yake na huyo mwanenu itabakia kuwa stori tu. Si unajua mambo ya mapenzi mkuu wangu..!?]
 
Afate vyote wanavyotaka ndugu wa mume hata vikiwa vibaya vinginevo asubiri gubu, visa, nyodo, masengenyo, majigambo, tunguli na kadhalika. Ukisikia ndugu wa mume wana visa, wanaongoza hawa.
 
wasambaa ,wadigo na makabila mengine wapo wanaume fresh tuuu ila nikuambie kitu ukitaka binti yako ateseke mwache aolewe huko kama yeye hajaishi pwani usikubali kwani wana mfumo tofauti wa ku-handle marriage matters i.e huku watu hawaoi wake wengi kama kule na wengi tumetoka kwenye familia ambazo baba ana mke mmoja tuu lakini kule wanakuwa na mfumo wa kuoa hata wake 4 so binti yako atateseka sana kwa sababu hajazoea mfumo wa kushare mapenzi na bwana kulala njee we but kama wewe ni wa pwani nawe mwache akapaliwe na pwaaaaaaaaaaani

baba erick we ni msambaa?? Huo ni uongo!!
 
Nimecheka sana! Eti wacheza ngoma na wavaa msuli!..lol.. Nimesikia watu wengi wanasema wanaume wa kisambaa ni wakarimu ila hawajui kutunza wake zao. Ni mmoja kwa mia ndo anatunza mke.[Nakubaliana na wewe kabisaa..! Mimi nina rafiki yangu ambaye ni msambaa, kwa kweli kesi ninazopokea toka kwake ingekuwa zinashikika sasahivi ningekuwa nimejaza magunia. Tatizo jamaa anapiga sana mke wake, yaani hana mpango kabisa. Ila kitu ambacho nimegundua ni kwamba majority ya wasambaa huwa ni washamba na nahisi hicho ndicho kitu kinachomfanya mzee mwenzetu aumize kichwa kuhusu binti yake.]
 
Wasambaa ni watu wakarimu, wapole na wachapa kazi! hawana matatizo, bumbuli, soni, lushoto mjini, mtae, mgwashi, nk.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom