Tabia za ukoo zinahusika ukitaka kuoa au kuolewa?

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Wana JF.
Kuoa au kuolewa ni hatua ya maisha ambayo binadamu huipitia.

Katika hatua hii, vijana wengi hasa wa kiume wamekuwa wakitatizika sana kwamba ni msichana yupi anafaa kuwa mke.

Halikadhalika mara chache vijana nao wamekuwa wakisugua vichwa ni kijana yupi anafaa kuwa mume.
Hivi ukitaka kuoa au kuolewa kuna sababu ya kujua kwanza tabia za ukoo unayetaka kufunga naye ndoa.
Nawakilisha..
 
Usijaribu kuingia kichwa kichwa hata siku moja, b'se u will be making the biggest mistake of ur life and u will end up regretting for the rest of ur life.............

Ni muhimu kumjua mwenzi wako vizuri kabla ya ndoa maana kuna tabia au magonjwa ambayo hurithishwa kiokoo ambayo kama usipokuwa makini kuyajua basi yanaweza kutibua ndoa yako kabisa. Kuna huu ugonjwa wa kifafa ni ugonjwa ambao hurithishwa kazazi hadi kizazi katika koo husika na mbaya zaidi si familia nyingi zinazoweka wazi matatizo kama hayo. Si mbaya kama ukijulishwa kwani utaamua mwenyewe kusuka ama kunyoa sababu ni ugonjwa kama ugonjwa mwingine ila unaweza kuwa kikwazo kikubwa kwenye ndoa kama ulifichwa hapo awali. Kwa hiyo kuchunguzana koo ni jambo muhimu sana!
 
Usijaribu kuingia kichwa kichwa hata siku moja, b'se u will be making the biggest mistake of ur life and u will end up regretting for the rest of ur life.............
Mkuu, kuna ule usemi unasema 'as mother as daughter' una ukweli wowote?
 
Ukweli upo mkuu, mara nyingi tabia ya mtoto hujengwa na watu wa karibu pamoja na mazingira yaliyomzunguuka,mzazi ana nafasi kubwa katika makuzi na ujengaji wa tabia ya mwanae,mara nyingi mama akiwa 'waluwalu' basi mtoto nae atajengeka ktk maadili na misingi hiyohiyo

Mkuu, kuna ule usemi unasema 'as mother as daughter' una ukweli wowote?
 
Wanasema usimjudge mtu kwa kuangalia ndugu zake .
Kama umeamua kuoa angalia unayemuoa maana hata ukiamua kupeleleza unaweza usipate info zozote ukaja kuzisikia wakati ushaoa. Pia watu hawafanani, ukoo wangu unaweza ukawa unaabudu mizimu ila binafsi nikawa mtu wa mungu....hapn utafanya maamuzi yapi?(kwa kuzingatia kwamba maisha ni ya nyie wawili)
 
Husn,
Kweli unachosema, kuna familia zingine wazazi mcharuko lakini watoto wametulia sana!
 
Back
Top Bottom