Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,766
- 894
Wana JF.
Kuoa au kuolewa ni hatua ya maisha ambayo binadamu huipitia.
Katika hatua hii, vijana wengi hasa wa kiume wamekuwa wakitatizika sana kwamba ni msichana yupi anafaa kuwa mke.
Halikadhalika mara chache vijana nao wamekuwa wakisugua vichwa ni kijana yupi anafaa kuwa mume.
Hivi ukitaka kuoa au kuolewa kuna sababu ya kujua kwanza tabia za ukoo unayetaka kufunga naye ndoa.
Nawakilisha..