Tabia za Lugha

Kila mtu, wakati wa utoto wake, anavumbua dhana ya lugha. Mama hawezi kumwambia mtoto, "mwanangu njoo nikuambie hivi kuna kitu kinachoitwa lugha" kwa sababu huyo mtoto bado haelewi lugha yo yote. Ni kazi ya kila mtoto akijifunza jifunza kutambua kwamba sauti zinazotoka kwa mdomo wa mama ndizo maneno yenye maana kwa ajili ya mawasiliano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom