Tabia za hovyo 17 hizi hapa walizonazo wanaume Malaya/mabaharia/Players

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
2,188
2,000
Nimeitoa mahali huko FB na nimeona pana ukweli

1. Hawatuliagi na mwanamke moja
2. Wanapenda kudinya tu, hawana mapenzi ya dhati
3. Wana vipaji sana kwenye kudanganya
4. Huongea kwa utaratibu kwa hisia kali pindi wanapotongoza
5. Ni wavunjaji wakubwa wa mioyo na kuwaacha na maumivu mabinti waliokuwa nao.
6. Wanaweza kumuahidi binti kuwapa mbingu na nchi
7. Mapenzi kwao yapo kabla hawajadinya mabinti, wakishadinya humchukia binti
8. Wanaogopa sana mimba ila hawana habari na kinga
9. Wana phd za kuchanganya wnawake wengi kwa mpigo
10. Asilimia kubwa wamefulia
11. Cheo chao kikubwa ni “militembea na binti Fulani
12. Hushinda sana whatsapp na instagram
15. Wengi wanaishi maisha yaku act,
16. Nakupenda ”yao ni“ nataka tudinyane
17. Hawaamini kuna mahusiano bila kudinyana
 

joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
8,072
2,000
Alafu cha ajabu ndio wanaongozwa kugombaniwa na wanawake ,ila wale vijana wa seminari wana chezea vidochi kila siku.

Wakisha watendwa huko ndio wanarudi kwa waseminari,wanawakuta wenzao washaoa zamani wanabaki na kauli yao "wanaume wote sawa....." kumbe tatizo lilikuwa kwao.

Alafu wengi wao ni mabingwa wa kutia mimba na kuzikataa,yaani kwa kifupi ni mitambo ya kutengeneza single mother.
 

Mkogoti

JF-Expert Member
May 3, 2020
1,742
2,000
Ujakosea zote hizo ni tabia zangu wala ujakosea na kuongeza tu 18. Wanapiga bao kwa kuunganisha🤪🤦🏃
 

Mr noble

JF-Expert Member
Jun 20, 2017
623
1,000
Mbaya zaidi ni kuwa hizo tabia zote mwanamke atakuja kuzijua akisha toa penzi
Proud to be man
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom