Tabia za akina dada zinazonikera!!

VUVUZELA

JF-Expert Member
Jun 19, 2010
3,103
785
1. Kuendekeza kulakula tuu wakati wote ni kutafunatafuna.
2. Kupaka lipstic nyingi hadi inakera unakuta lips zimekuwa kama zimepakwa damu.
3. Kuendekeza kitambi/tumbo kubwa
4. Kula kucha in the public.
5. Kukandia wanaume wa nyumbani na kushobokea foreigners hata kama ni "white trash", popo, gypsies n.k. (Tanzaniamalephobia)
4. Kuniuliza kila mara lini nitakuoa wakati ndio kwanza tumeanza ku-date na bao hamjuani vile.(desperation)
5. Kudharau wanafunzi wenzao/wakiume wakati wakiwa vyuoni, then kuanza kujipendekeza na kujigonga wakati wa maisha ya mtaani after graduadion.
6. Kulazimisha wapenzi wao kula wanachokipenda wakati wa outing hata kama hatupendi.
7. Harufu ya mwili hasa kwapani na maeneo nyeti
8. Harufu ya mdomo
9. Kuvaa wig/weaving ambazo ukiziona tu kwa macho makavu unajua ni nywele za bandia
10. unene usokuwa na mpango may be shauri ya ulaji usiokuwa sensible
11. Kudharau mtu mnapokutana nae for the 1st time, wakati hata humjui ni nani na anafanya nini
12. Kutoboa pua
13. Kuachia mapaja wazi wakati umevaa nguo fupi
14. Kulewa bila mpango na kuanza kujirahisisha kwa wanaume
15. Kujikandika foundation usoni kupita kiasi hadi uso unaonekana kama mdoli
16. Kuombaomba hela bila mpango. Kuendekezaendekeza dhiki kijingajinga.
17. Kuingia clubs ama any hang out joints then mmejikusanya wasichana/wanawake kundi kubwa pekee yenu
18. Unapoalikwa dinner then unakuja na wenzio bila taarifa
19. mkorogoooo
20. Kubadilisha accent wakati unaongea kimatumbi/kiswazi as if umezaliwa US na kukulia huko na kujifunza kimatumbi ukubwani
...............mengineyo mtanisaidia
 
1. Kuendekeza kulakula tuu wakati wote ni kutafunatafuna.
2. Kupaka lipstic nyingi hadi inakera unakuta lips zimekuwa kama zimepakwa damu.
3. Kuendekeza kitambi/tumbo kubwa
4. Kula kucha in the public.
5. Kukandia wanaume wa nyumbani na kushobokea foreigners hata kama ni "white trash". (Tanzaniamalephobia)
4. Kuniuliza kila mara lini nitakuoa wakati ndio kwanza tumeanza ku-date na bao hamjuani vile.(desperation)
5. Kudharau wanafunzi wenzao/wakiume wakati wakiwa vyuoni, then kuanza kujipendekeza na kujigonga wakati wa maisha ya mtaani after graduadion.
6. Kulazimisha wapenzi wao kula wanachokipenda wakati wa outing hata kama hatupendi.
7. Harufu ya mwili hasa kwapani na maeneo nyeti
8. Harufu ya mdomo
9. Kuvaa wig/weaving ambazo ukiziona tu kwa macho makavu unajua ni nywele za bandia
10. unene usokuwa na mpango may be shauri ya ulaji usiokuwa sensible
11. Kudharau mtu mnapokutana nae for the 1st time, wakati hata humjui ni nani na anafanya nini
12. Kutoboa pua
13. Kuachia mapaja wazi wakati umevaa nguo fupi
14. Kulewa bila mpango na kuanza kujirahisisha kwa wanaume
15. Kujikandika foundation usoni kupita kiasi hadi uso unaonekana kama mdoli
16. mkorogo
...............mengineyo mtanisaidia

Hiyo blue tu ndiyo inanihusu. Mengine hayanihusu kabisaaaaaaa.
 
Ndugu yangu mengine hata sie wanawake wenyewe hatuyapendi kama Lipstic na wigi ila ndo fassion sasa tufanyaje ili tusionekane washamba! Twajipaka tu!

Wazungu wanahonga sanaaa, we kubali kataa, wazungu bonge ya dili ukimfuma wa maana!

Wanafunzi lazima niwadharau manake wanajionaaa kama hizo akili zao zinaliwa! Kufaulu kidogo tu Jitu lishajiona kama Isac Newton au Faraday au hata Lord Keynes na Irving Fisher!!! Msheeeeeeeew! Mi napenda kuwaremind the awfal truth they are just piece of shit in real world! Hawana lolote! Kazi kusaga lami tu!

Kama nachokula ni Classic na wewe ni mshamba lazima nikutoe ushamba kwa kukuforce kula classic cuisines! Bila bakora mnaenda nyie vidume wa siku hizi! Thubutuuu yenu! Watu tuko sehemu za maana unaagiza Chips Kuku!!!!! Kula kuku na umma kwenyewe hujui! Ndo inabidi kuepusha aibu nikuagizie fillet manake zinalika kwa uma kirahisi!

Kuna unene na Curves! Unene wa ovyo ovyo kama kiroba pia mimi siuungi mkono, ila curves ndo mpango mzima!

1st time lazima nilete pozi na makuz coz watu wengine shobo zimewajaa, ukijifanya kind na charming unaweza kufungiwa vioo au usijibiwe kabisaa ukaonekana unajipendekeza! Dawa ni kula cobis, mtu akikuanza kiungwana ndo narudisha uungwana! Mjini hapa Silaha Pesa, bastola zigo tu!

Mapaja yangu nikiacha wazi haikuhusuu, Coz najua lazima uyacheki yalivyonona ndo maana nakuorishia! Bila kuoneshwa sample ya zigo mnaingiaga line kiurahisi! Thubutu yenu! Dawa ndo hiyo kuwapa trailer kidogo!

Kulewa kama pesa huna ofa ulinipa ya nini? Siku nyingine chukua wanafunzi wanaokunywa juice! Wengine pombe stimulator tu wala sio kilevi!

Sema foundation cheap stuff ndo zinaboa, Ila kitu ya Marry Kay let me not mention the price ukipaka lazima uonekane wa kino, na hujaja mujini na basi!
 
Baaaas...!!!!
4, 5, 5, 11... Hizo namba brother hujakosea yani mulemule...
Dah..!! Kama 2likuwa 2nafikiri wote..©
 
Shosti mcng u bana upo? Naondoka mjin kwenu bana cu next tmy

Boss...!! Pole sana naomba nikupokee..! Kwa machache tu..
20. Kujiekti kama kina kim kardashian.. Kumbe njaa kali.. Alafu anajiongeza mbele za watu na swaga za mavi ya kuku.. Kumbe unachoreka..©

21. Kuongea kupita maelezo.. Mara hiki nakijua, kule nishaenda, ahh yule hana ishu, kumbe mavi ya kuku..

22. Kuoneana wivu wenyewe kwa wenyewe... Yani ukikutana na dem mwenzako kakufunika baas.. Utamkata jicho sana, kumsunya, mafumbo... Ya nn..???

23. Shopping zisizoisha.. Ndio tunajua wanawake mavazi but siyo daily kwa wiki shopping mara 6.. Mara mwenge, tandika, ubungo, manzese, kariakoo, n.k.

24. Umbea...

Am out...©
 
Kupaka vipodozi katika subway/ public transport. Kupendeza kunatakiwa kuwe mysterious, ukituonyesha unavyojipodoa unaondoa mystery yooote tunaona uchawi wooote unavyotengenezwa.

Isitoshe unaweza kunimwagia vipodozi vyako vya mirangirangi kwenye my Elvis Presley Blue Suedes!
 
Halafu wengine mimaziwa imelala full kuipiga Tanganyika jeki. Mkorogo umedunda vidole kama mchimba kaburi.

Halafu first date then anaanza kuleta invoices bila aibu, si hata usubiri uliwe kidogo.
umeua mkuu. Mwanaume kuhonga ni wajibu lakini mwanamke nae akianza kuendekeza dhiki za kijinga sijui ninunulie voucher ya simu oooh naomba hela ya daladala that's a big turn off
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom