Tabia za ajabu na mbovu za Watu wa Bara

Status
Not open for further replies.
Tatizo la wazanzibar ambalo linanikera sana.

wanapenda sana kujiona wao ni watakatifu sana kuliko wabara,mambo yote ya kipuuzi wanatutupia sisi huku,kama vile wao hawana upuuzi huo.

Nimewahi kumsikia dada mmoja wa kipemba akisema,"sioleewi na mmbara,wabara ni wachawi,walevi,basi huwa namuangalia simjibu kwangu namchukulia kama mjinga tuu.
Sio wote, wengi ni wale ambao hawajakaa huku na hawajawajua watu wa bara. Mbona wanaoleea tu na wabara, wengi tu ila wale ambao waliowahi kukaa huku na kuwajua wa bara.
 
Sio wote, wengi ni wale ambao hawajakaa huku na hawajawajua watu wa bara. Mbona wanaoleea tu na wabara, wengi tu ila wale ambao waliowahi kukaa huku na kuwajua wa bara.

Yeah nakubari mkuu siyo wote,lakini hawa wazanzibar wanazingua sana mkuu.
 
Mabaradhuli Zenji wameisha? Hali ilivyo ya kutisha mpaka mtoto wa miaka mitano anajua Baradhuli ni nani. Innaa lillahi wa inna ilayhi raajiuun, masheikh huko Zanzibar wanalia kwa kuporomoka maadili hasa liwaatw (ushoga). Kuna mzanzibar mmoja ananiambia yani kuna shule kabisa zinajulikana ukipeleka mtoto bweni basi anarudi shoga. Kule kufanyana mbele na nyuma ni kitu cha kawaida kabisa, japo sio wote lakini ukilinganisha eneo na idadi ya watu tatizo ni kubwa. Wazanzibari wanaojielewa wanasikitika sana kwa hali hiyo. Kuna sehemu tu huko pemba ndani ndani huko ndio angalau kuna maadili kidogo, lakini kulikobakia hasa walio unguja ( ambako wakote wote waunguja na pemba) ni musiba mkubwa sana.
 
Mie mtoto wa pwani atii,.lakini huyu mzanzibar pori hajui vizuri bara na pwani...hivi kuna mahali pananuka ushoga kama zenji????
Tungefunguka hapa jinsi ushoga na usagaji kupitia zenji ulivyotamalaki mpaka serikali kuu sema tunaogopa kuitwa dodoma au kuvaa viroba.
Mzanzibar kula mwata ulale usiponze watu hapa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom