Tabia za ajabu na mbovu za Watu wa Bara

Status
Not open for further replies.

Bedui la bongo

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
297
306
Haya nitakayo yasema kaa mwenyewe ufikiri uone kama ni sawa ama laa

1. Vigodoro visivyo na staha watu wanacheze uchi wanavua nguo mbele ya watoto na watu wanashangilia

2. Singeli, watu wanaimba kwa kutukana wanacheza na mapanga vurugu tupu

3. Khanga moja na vibao kata, mtu anavua nguo anacheze na khanga bila chupi khanga imeloa laana hii nilipita sehenu nikaona huko bara kwenye baa unatoa elf 5 unapewa jagi anakuja mwanamke anakukalia huku unamwagia sehemu yoyote uitakayo kwa hyo elfu 5 kama sio laana ni nini

Uvaaji usio na staha, makucha bandia sijui manyusi uvaaji vimini masuruali na ukahaba

Watu wa bara mbadilike na huu muingiliano ndo mnaharibu na watu wa Zanzibar ningekuwa na uwezo nyie kabla hamjaja huku Zanzibar mngekuwa mnapimwa kwanza adabu

Sasa kuna mashoga wengi mpaka mkuu wenu wa mkoa kaamua aanze kamata kamata maana mmezidi mbadilike naiman MUNGU atawaongoza mtabadilika

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile appiphone
 
Duh
tapatalk_1537185246215.jpeg

Sent using Damu ya Yesu
 
Hili nitakayo ya sema kaa mwenyewe ufikiri uone kama ni sawa ama laa
1) vigodoro visivyo na staha watu wanacheze uchi wanavua nguo mbele ya watoto na watu wanashangilia haya utayapata BARA

2)SINGELI watu wanaimba kwa kutukana wanacheza na mapanga vurugu tupu WALLAH yote unayapata BARA

3)KHANGA MOJA NA VIBAO KATA mtu anavua nguo anacheze na khanga bila chupi khanga imeloa laana hii nilipita sehenu nikaona huko bara kwenye baa unatoa elf 5 unapewa jagi anakuja mwanamke anakukalia huku unamwagia sehemu yoyote uitakayo kwa hyo elfu 5 kama sio laana ni nn yote haya utayapata BARA

UVAAJI USIO NA STAHA VYOTE NI BARA makucha bandia sijui manyusi uvaaji vimini masuruali na ukahaba watu wa BARA mbadilike na huu muingiliano ndo mnaharibu na watu wa ZANZIBAR ningekuwa na uwezo nyie kabla hamjaja huku ZANZIBAR mngekuwa mnapimwa kwanza ADABU

Sasa kuna mashoga wengi mpaka mkuu wenu wa mkoa kaamua aanze kamata kamata mana mmezidi mbadilike naiman MUNGU atawaongoza mtabadilika

Nawasilisha POVU LOLOTE RUKSA

Sent using Jamii Forums mobile appiphone
Vigodoro Bara!, Bara lipi hilo yakhe?, Bara Afrika?
 
Kila kitu kuzidi watu wa bara ndo wenye mambo hayo
Dhambi ya ubaguzi haitakuacha salama, ukianza kuwachambua wabara dhidi ya wazanzibar, utabaini hata wazanzibar kuna wapenda na waunguja na taboa zao tofauti. Wasilisha mada bila kutaja wabara au wazanzibar, Tabia haina ubara wala uzanzibari

Sent using Jamii Forums mobile appiphone
 
Hili nitakayo ya sema kaa mwenyewe ufikiri uone kama ni sawa ama laa
1) vigodoro visivyo na staha watu wanacheze uchi wanavua nguo mbele ya watoto na watu wanashangilia haya utayapata BARA

2)SINGELI watu wanaimba kwa kutukana wanacheza na mapanga vurugu tupu WALLAH yote unayapata BARA

3)KHANGA MOJA NA VIBAO KATA mtu anavua nguo anacheze na khanga bila chupi khanga imeloa laana hii nilipita sehenu nikaona huko bara kwenye baa unatoa elf 5 unapewa jagi anakuja mwanamke anakukalia huku unamwagia sehemu yoyote uitakayo kwa hyo elfu 5 kama sio laana ni nn yote haya utayapata BARA

UVAAJI USIO NA STAHA VYOTE NI BARA makucha bandia sijui manyusi uvaaji vimini masuruali na ukahaba watu wa BARA mbadilike na huu muingiliano ndo mnaharibu na watu wa ZANZIBAR ningekuwa na uwezo nyie kabla hamjaja huku ZANZIBAR mngekuwa mnapimwa kwanza ADABU

Sasa kuna mashoga wengi mpaka mkuu wenu wa mkoa kaamua aanze kamata kamata mana mmezidi mbadilike naiman MUNGU atawaongoza mtabadilika

Nawasilisha POVU LOLOTE RUKSA

Sent using Jamii Forums mobile appiphone
Tofauti ni moja tu.... Bara yanafanyika kwa uwazi huko kwenyu yanafanyika kwa kificho... Tena Zenji ushoga hauna kificho tena... Nafikiri unapafahamu vema kwa Raju hebu niambie utafananisha na sehemu gani ya Bara?
Ndugu yangu umewaza kimo cha mbilikimo... Bara unayozungumzia wewe ni mwambao wa pwani kama Zenji tu, huifahamu bara vema... Bara isiyo Pwani ina watu waliostaarabika kuliko unavyohadithia.... Upuuzi wote unaouzungumzia huwezi kuukuta mikoa ya kaskazini nk

Jr
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom