Tabia za ajabu na mbovu za Watu wa Bara

Status
Not open for further replies.
Haya nitakayo yasema kaa mwenyewe ufikiri uone kama ni sawa ama laa

1. Vigodoro visivyo na staha watu wanacheze uchi wanavua nguo mbele ya watoto na watu wanashangilia

2. Singeli, watu wanaimba kwa kutukana wanacheza na mapanga vurugu tupu

3. Khanga moja na vibao kata, mtu anavua nguo anacheze na khanga bila chupi khanga imeloa laana hii nilipita sehenu nikaona huko bara kwenye baa unatoa elf 5 unapewa jagi anakuja mwanamke anakukalia huku unamwagia sehemu yoyote uitakayo kwa hyo elfu 5 kama sio laana ni nini

Uvaaji usio na staha, makucha bandia sijui manyusi uvaaji vimini masuruali na ukahaba

Watu wa bara mbadilike na huu muingiliano ndo mnaharibu na watu wa Zanzibar ningekuwa na uwezo nyie kabla hamjaja huku Zanzibar mngekuwa mnapimwa kwanza adabu

Sasa kuna mashoga wengi mpaka mkuu wenu wa mkoa kaamua aanze kamata kamata maana mmezidi mbadilike naiman MUNGU atawaongoza mtabadilika

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile appiphone
Wewe ndo mwehu kweli, ulipofika Mbagala Dar ndo ukaona uko Tanganyika! Hayo uliyoyaandika mikoa mingi ya bara hawajui hata maana yake ukiacha kwamba siyo utamaduni wao.
 
Watu wa bara mbadilike na huu muingiliano ndo mnaharibu na watu wa Zanzibar ningekuwa na uwezo nyie kabla hamjaja huku Zanzibar mngekuwa mnapimwa kwanza adabu
Na nyie muachi kulawitiana
zanzibar kila familia ina shoga,na kwa maneno yako haya unaonekana kabisa ni kinara kwenye familia yako
 
Haya nitakayo yasema kaa mwenyewe ufikiri uone kama ni sawa ama laa

1. Vigodoro visivyo na staha watu wanacheze uchi wanavua nguo mbele ya watoto na watu wanashangilia

2. Singeli, watu wanaimba kwa kutukana wanacheza na mapanga vurugu tupu

3. Khanga moja na vibao kata, mtu anavua nguo anacheze na khanga bila chupi khanga imeloa laana hii nilipita sehenu nikaona huko bara kwenye baa unatoa elf 5 unapewa jagi anakuja mwanamke anakukalia huku unamwagia sehemu yoyote uitakayo kwa hyo elfu 5 kama sio laana ni nini

Uvaaji usio na staha, makucha bandia sijui manyusi uvaaji vimini masuruali na ukahaba

Watu wa bara mbadilike na huu muingiliano ndo mnaharibu na watu wa Zanzibar ningekuwa na uwezo nyie kabla hamjaja huku Zanzibar mngekuwa mnapimwa kwanza adabu

Sasa kuna mashoga wengi mpaka mkuu wenu wa mkoa kaamua aanze kamata kamata maana mmezidi mbadilike naiman MUNGU atawaongoza mtabadilika

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile appiphone
Picha tahadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mtu wa ajabu sana. Ushoga umeshamiri Zanzibar miaka mingi kabla ya kufika Bara. Leo unajibaraguza.
 
Tatizo la wazanzibar ambalo linanikera sana.

wanapenda sana kujiona wao ni watakatifu sana kuliko wabara,mambo yote ya kipuuzi wanatutupia sisi huku,kama vile wao hawana upuuzi huo.

Nimewahi kumsikia dada mmoja wa kipemba akisema,"sioleewi na mmbara,wabara ni wachawi,walevi,basi huwa namuangalia simjibu kwangu namchukulia kama mjinga tuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom