technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,841
Ungeweka Sifa zako kwanza tuzipime by the way mimi tabia yangu uwa ukinivuruga nafoka nafoka then nacheka muda huo huo na kusahau sinaga kutunza jambo mimi ndio maana napenda uhuru wa kujieleza sana.