Tabia ya wazungu wa kike.

pet geo pet

JF-Expert Member
Jun 30, 2018
461
644
Wakuu habarini,

Nipo maeneo ya wazungu sana kila kona nakutana nao.
Nimejaribu kuwatongoza lakini wengi wanakataa ila ukimwambia vingine anakubali tu bila shida.

Unaweza mwambia tuvue nguo tukaogelee anakubali,kumshika shika anakubali kuchati anachati lakini ukimtongoza tu anakata na mawasiliano na wewe.

Kwa watu mlioishi nao sana hawa watu weupe wapoje kuhusu mapenzi????

Karibuni wakuu kwa ushauri,pia matusi ruksa.
 
Wazungu wanapenda urafiki kwanza na ajue wewe utakuwa rafiki yake wa kudumu. Ila ukionekana tongoza tongoza hautapata hata mmoja labda wanaojiuza tu.

Ukitulia, watakutongoza wao. Usijioneshe mpenda ngono mapema. Kuna wakati tendo linakuja automatically ila wanajitambua mno.

Ukishatibua ukawatongoza marafiki wataambiana tu , na hautampata hata mmoja.
Wakuu habarini,

Nipo maeneo ya wazungu sana kila kona nakutana nao.
Nimejaribu kuwatongoza lakini wengi wanakataa ila ukimwambia vingine anakubali tu bila shida.

Unaweza mwambia tuvue nguo tukaogelee anakubali,kumshika shika anakubali kuchati anachati lakini ukimtongoza tu anakata na mawasiliano na wewe.

Kwa watu mlioishi nao sana hawa watu weupe wapoje kuhusu mapenzi????

Karibuni wakuu kwa ushauri,pia matusi ruksa.
 
kudadeki embu asome Huko
Kichwa chako kama firigisi ya kuku, hakuna chochote ndani ya firigisi bali mchanga tu.

Wewe unawaza ngono tu kama Nyegere mtu gani wewe!!, umekwenda ulaya kufanya umalaya bila haya??.
 
Wakuu habarini,

Nipo maeneo ya wazungu sana kila kona nakutana nao.
Nimejaribu kuwatongoza lakini wengi wanakataa ila ukimwambia vingine anakubali tu bila shida.

Unaweza mwambia tuvue nguo tukaogelee anakubali,kumshika shika anakubali kuchati anachati lakini ukimtongoza tu anakata na mawasiliano na wewe.

Kwa watu mlioishi nao sana hawa watu weupe wapoje kuhusu mapenzi????

Karibuni wakuu kwa ushauri,pia matusi ruksa.
Nielekeze Mzee baba

Ni sehem gan wapo niwatimbie
 
Sasa mtu --umesha mshika shika kiasi hicho. ..Halafu una Anza kumtongoza. ..Si utaonekana mwehu. ..Wewe jamaa wa wapi aise...

Yaani mtu mpaka nguo anavua ana kuruhusu umpapase --halafu una Anza kumtongoza tena? ?.....Dah! !!umenikera sana jamaa yangu
Nimeshindwa kumwelewa huyu jamaa. sijui ana umri gani?
 
Kwa ushauri wangu, usipende kutumia neno I LOVE YOU kwa mzungu. utakuwa humpati.
kama anakubali umshikeshike we shika hadi kunako na mate kula sana ila gemu usiombe atakupa mwenyewe siku ataamua.
narudia tena usimwambie mzungu I LOVE YOU kama hujamgegeda.
 
Back
Top Bottom